mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Mbona unapatwa na mchecheto ukisikia Bukoba wanakula kinyesi?Mbona unapatwa na mchecheto ukisikia pokot na turkana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unapatwa na mchecheto ukisikia Bukoba wanakula kinyesi?Mbona unapatwa na mchecheto ukisikia pokot na turkana?
Pole sana. Amini ipo siku tu.Tupo nyuma sana ndio maana tunaenda chooni kwa hisani ya wazungu, waarabu, warusi na Wachina.
Mchecheto gani?Mbona unapatwa na mchecheto ukisikia Bukoba wanakula kinyesi?
Ya KinyesiMchecheto gani?
Ipo siku yale mshamba makubwa na yenye rutuba nzuri yanayo milikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa tutawanyanganya na kuwapa wananchi ili tuepuke hii aibu ya kupewa misaada ya chakula karne hii.Pole sana. Amini ipo siku tu.
Kinyesi gani?Ya Kinyesi
Hongera kwake mkulima, hivi ndivyo inapaswa kupambana, soko la Kenya linaweza kumtoa sana.
Wala siyo siri- vitunguu vya Tanzania vinafika EU via Nairobi. Vijana wa Mazense /Lumumba bado sana.bidhaa gani hizo munazo-dump Kenya wakati sijaona kitu chochote cha kutoka Tanzania kwenye shelves za supermarket Kenya.
Angalau China wana-dump vitu vya maana kama magari, tarakilishi, simu n.k.
Tutaendelea kununua low value goods na raw materials kutoka Tanzania kisha tuzi-process kwenye viwanda vyetu na kuvipiga chapa ya ''Made in Kenya'' na kuuza Afrika nzima na ughaibuni tuone ni nani anaemkomoa mwenzie.
Kiswahili chako cha Kenya mbona? Watanzania hawasemi "hatuko nazo", wanasema "hatuna". Umeishi Kenya kwa muda gani?Tunanunua vichochoroni na chini ya miti juu supermarkets hatuko nazo.
Asante ndugu. Geza Ulole ukileta kisirani tuna mtetezi.Nimepata mwanamke kisii na kanizalia mtoto wa kiume siku hizi geza akiwatania mimi nawatetea bwana shemeji
Sent from my iPhone using JamiiForums
Muda mfupi tu.Kiswahili chako cha Kenya mbona? Watanzania hawasemi "hatuko nazo", wanasema "hatuna". Umeishi Kenya kwa muda gani?
Wewe upo Mombasa au Nairobi nataka kuja nitembee kenyaTunanunua kwa hela zetu mbona tusipige kelele?
Ndio maana wachina wanawanyuka viboko nyie nyang'au, hamjielewi.Ya Kinyesi
Wewe jamaa unachekeshaga sanaWakulima wa Tanzania huteseka sana na ndio maana nchi yao maskini kwenye LDC, hawataki kuwaachia hao wakulima uhuru wa kufanya biashara kwenye mazao yao.
Huyu kwenye hii video awe makini maana tayari amejianika, atavurugwa sana na kurudishwa nyuma, jamaa wana roho nyeusi.
Kwani ni siri? Sisi na hao uliowataja, ambao ndio huwa tunatoa mgao na mchango wetu kwa UN kila mwaka na ambao hatuna deni lao ndio huwa tunawajengea dona kantri matundu ya vyoo. Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1]Tupo nyuma sana ndio maana tunaenda chooni kwa hisani ya wazungu, waarabu, warusi na Wachina.
Kwani ni siri? Sisi na hao uliowataja, ambao ndio huwa tunatoa mgao na mchango wetu kwa UN kila mwaka na ambao hatuna deni lao ndio huwa tunawajengea dona kantri matundu ya vyoo. Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1]![]()
Choo ni kwa ajili ya walioshiba na wenye uhakika wa kula,Kwani ni siri? Sisi na hao uliowataja, ambao ndio huwa tunatoa mgao na mchango wetu kwa UN kila mwaka na ambao hatuna deni lao ndio huwa tunawajengea dona kantri matundu ya vyoo. Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1]![]()
Si kweli...labda kama unaongea ki ligi ligi na watzWakulima wa Tanzania huteseka sana na ndio maana nchi yao maskini kwenye LDC, hawataki kuwaachia hao wakulima uhuru wa kufanya biashara kwenye mazao yao.
Huyu kwenye hii video awe makini maana tayari amejianika, atavurugwa sana na kurudishwa nyuma, jamaa wana roho nyeusi.
Acha ujinga wewe, sisi ndio tunaoshikilia maisha yenu, sisi ndio tegemeo lenu kwa chakula, mnakuja wenyewe kuja kununua vyakula kwa ajili ya watu wenu, bila chakula cha Tanzania wakenya mnakufa njaa.Vilaza katika ubora wenu. Mkulima kwa kujituma kwake anafaidi kweli kweli na soko la Kenya. Alafu nyinyi hapo bila aibu mnaendeleza porojo zenu mkiwa kwenye vijiwe vyenu huko Manzese. Mmerogwa nyie, mna uwezo wa kulisha nani? Hebu leteni takwimu za biashara kati ya Kenya na Tz mwaka uliopita 2018/19. Tunawauzia bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwenu, tena hiyo ni kwa nchi zote ukanda huu. Tz, Ug, Rw, Br, S.Sudan wote mna 'trade deficit' kwenye biashara na Kenya. Tena mbaya zaidi ni kwamba bidhaa ambazo mnatuuzia ni kama mahindi na maharagwe. Wakati sisi tunawauzia bidhaa nyingi zaidi, kutoka kwa viwanda, k.m. madawa na sabuni.