Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Na ndio ndoto ya kila mkenya anawaza vyakula vya Tanzania tu na ardhi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya kuna pesa na pesa iko Kenya. Bila shaka huyu mkulima kwa sasa anajihisi ameshinda Jackpot kwa kupenya soko la Kenya. Kwa nini isiwe nchi nyingine yoyote masikini inayozunguka Tanzania bali ni Kenya tu yenye uchumi mkubwa na tajiri ndiyo inayomtia kiwewe?
Ni ndoto ya kila mkulima kutoka Tanzania kutaka kuuza mazao yake Kenya ili aweze kutoka kwenye lindi la umasikini.
Sent using Jamii Forums mobile app