pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Choo ni kwa ajili ya walioshiba na wenye uhakika wa kula,
Wenye njaa kama wewe flying toilets zinawatosha.
Boss, endelea kujiliwaza na habari za zamani za kitongoji duni cha Kibera. UNDP huwa hawabahatishi, wanawajengea vyoo kwasababu hakuna mwaka ambao huwa hampo kwenye top 10 ya nchi za Afrika ambazo % kubwa ya watu ndio huwa wanadondosha mzigo hadharani na vichakani. Yaani chini ya 25% tu ya watz ndio huwa wanatumia vyoo. [emoji1] Ndio hii ramani ya 'top 18 countries in Africa' kwenye fani ya kunya hadharani, mijini, vijijini, kote kote. 😀