Halafu wakishashiba wanakuja kujazana hapa jukwaan na kuanza kupiga kelele.Hawa kila kitu tunawalisha!
Price ya Supermarket.
Tunanunua kwa hela zetu mbona tusipige kelele?Halafu wakishashiba wanakuja kujazana hapa jukwaan na kuanza kupiga kelele.
Tulieni nzige wawashughulikieni kikamilifu kwanza, halafu ndio mje mpige kelele na hivyo vijihela vyenu uchwara.Tunanunua kwa hela zetu mbona tusipige kelele?
Tunanunua vichochoroni na chini ya miti juu supermarkets hatuko nazo.Price ya Supermarket.
Nyi pia muko na supermarkets huko kwenu au munanunua vitu vichochoroni na chini ya miti?
NA tupige kelele πππTulieni nzige wawashughulikieni kikamilifu kwanza, halafu ndio mje mpige kelele na hivyo vijihela vyenu uchwara.
Kenya kuna pesa na pesa iko Kenya. Bila shaka huyu mkulima kwa sasa anajihisi ameshinda Jackpot kwa kupenya soko la Kenya. Kwa nini isiwe nchi nyingine yoyote masikini inayozunguka Tanzania bali ni Kenya tu yenye uchumi mkubwa na tajiri ndiyo inayomtia kiwewe?
Ni ndoto ya kila mkulima kutoka Tanzania kutaka kuuza mazao yake Kenya ili aweze kutoka kwenye lindi la umasikini.
Jamaa zako wa pokot na turkana wanakungoja ukapige kelele.NA tupige kelele πππ
Kenya kuna pesa na pesa iko Kenya. Bila shaka huyu mkulima kwa sasa anajihisi ameshinda Jackpot kwa kupenya soko la Kenya. Kwa nini isiwe nchi nyingine yoyote masikini inayozunguka Tanzania bali ni Kenya tu yenye uchumi mkubwa na tajiri ndiyo inayomtia kiwewe?
Ni ndoto ya kila mkulima kutoka Tanzania kutaka kuuza mazao yake Kenya ili aweze kutoka kwenye lindi la umasikini.
[/QUOT
Nyinyi ni dumping place ya bidhaa zetu, kama anacho wafanyia china.
Niwaambie wenzetu wa Bukoba wanabugia kinyesi.Jamaa zako wa pokot na turkana wanakungoja ukapige kelele.
Halafu wakishashiba wanakuja kujazana hapa jukwaan na kuanza kupiga kelele.
Vilaza katika ubora wenu. Mkulima kwa kujituma kwake anafaidi kweli kweli na soko la Kenya. Alafu nyinyi hapo bila aibu mnaendeleza porojo zenu mkiwa kwenye vijiwe vyenu huko Manzese. Mmerogwa nyie, mna uwezo wa kulisha nani? Hebu leteni takwimu za biashara kati ya Kenya na Tz mwaka uliopita 2018/19. Tunawauzia bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwenu, tena hiyo ni kwa nchi zote ukanda huu. Tz, Ug, Rw, Br, S.Sudan wote mna 'trade deficit' kwenye biashara na Kenya. Tena mbaya zaidi ni kwamba bidhaa ambazo mnatuuzia ni kama mahindi na maharagwe. Wakati sisi tunawauzia bidhaa nyingi zaidi, kutoka kwa viwanda, k.m. madawa na sabuni.Hawa kila kitu tunawalisha!
Mbona unapatwa na mchecheto ukisikia pokot na turkana?Niwaambie wenzetu wa Bukoba wanabugia kinyesi.
bidhaa gani hizo munazo-dump Kenya wakati sijaona kitu chochote cha kutoka Tanzania kwenye shelves za supermarket Kenya.Nyinyi ni dumping place ya bidhaa zetu, kama anacho wafanyia china.
Nilijua... Pole sana, Tanzania bado mpo nyuma sana kimaendeleo ila ipo siku mtafika tu.Tunanunua vichochoroni na chini ya miti juu supermarkets hatuko nazo.
Tupo nyuma sana ndio maana tunaenda chooni kwa hisani ya wazungu, waarabu, warusi na Wachina.Nilijua... Pole sana, Tanzania bado mpo nyuma sana kimaendeleo ila ipo siku mtafika tu.