Mkulima wa Tanzania avutia wanunuzi toka Kenya

Pole sana. Amini ipo siku tu.
Ipo siku yale mshamba makubwa na yenye rutuba nzuri yanayo milikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa tutawanyanganya na kuwapa wananchi ili tuepuke hii aibu ya kupewa misaada ya chakula karne hii.
 
Hongera kwake mkulima, hivi ndivyo inapaswa kupambana, soko la Kenya linaweza kumtoa sana.

Nimepata mwanamke kisii na kanizalia mtoto wa kiume siku hizi geza akiwatania mimi nawatetea bwana shemeji

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wala siyo siri- vitunguu vya Tanzania vinafika EU via Nairobi. Vijana wa Mazense /Lumumba bado sana.
 
Tunanunua vichochoroni na chini ya miti juu supermarkets hatuko nazo.
Kiswahili chako cha Kenya mbona? Watanzania hawasemi "hatuko nazo", wanasema "hatuna". Umeishi Kenya kwa muda gani?
 
Reactions: Oii
Wewe jamaa unachekeshaga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupo nyuma sana ndio maana tunaenda chooni kwa hisani ya wazungu, waarabu, warusi na Wachina.
Kwani ni siri? Sisi na hao uliowataja, ambao ndio huwa tunatoa mgao na mchango wetu kwa UN kila mwaka na ambao hatuna deni lao ndio huwa tunawajengea dona kantri matundu ya vyoo. Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kwahiyo UNDP wameleta hadi maendeleo ya vyoo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani ni siri? Sisi na hao uliowataja, ambao ndio huwa tunatoa mgao na mchango wetu kwa UN kila mwaka na ambao hatuna deni lao ndio huwa tunawajengea dona kantri matundu ya vyoo. Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1]
Choo ni kwa ajili ya walioshiba na wenye uhakika wa kula,
Wenye njaa kama wewe flying toilets zinawatosha.
 
Si kweli...labda kama unaongea ki ligi ligi na watz
 
Acha ujinga wewe, sisi ndio tunaoshikilia maisha yenu, sisi ndio tegemeo lenu kwa chakula, mnakuja wenyewe kuja kununua vyakula kwa ajili ya watu wenu, bila chakula cha Tanzania wakenya mnakufa njaa.

Kenya inauza bidhaa zisizo na umuhimu wowote kwa Tanzania, tunaweza kuzizuia zisifike Tanzania na wananchi wasihisi kama kuna upungufu wowote ule, ila Tanzania tukizuia bidhaa zetu kuja Kenya, lazima kutatokea mfadhahiko wa uchumi, ukiacha dawa za meno, maziwa, sigara na siagi, nini tena mnaleta Tanzani?

Sisi tunawauzia vitu vingi sana vya viwandani
1)Vinywaji kama Azam Energy, Konyagi, Wins...
2)Transforma za umeme
3)Karatasi
4)Nguzo za umeme
5)Tiles
6)Gasi ya kupikia
7)Gas ya Carbon dioxide
8)Bati za kuezekea
9)Clinker

Wewe taja ni bidhaa gani muhimu Kenya inauzia Tanzania ambazo hazizalishwi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…