pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Boss, endelea kujiliwaza na habari za zamani za kitongoji duni cha Kibera. UNDP huwa hawabahatishi, wanawajengea vyoo kwasababu hakuna mwaka ambao huwa hampo kwenye top 10 ya nchi za Afrika ambazo % kubwa ya watu ndio huwa wanadondosha mzigo hadharani na vichakani. Yaani chini ya 25% tu ya watz ndio huwa wanatumia vyoo. [emoji1] Ndio hii ramani ya 'top 18 countries in Africa' kwenye fani ya kunya hadharani, mijini, vijijini, kote kote. πChoo ni kwa ajili ya walioshiba na wenye uhakika wa kula,
Wenye njaa kama wewe flying toilets zinawatosha.
ile ardhi tuliyompa dangote ajenge kiwanda, ipo siku tutampokonya tuwape watanzania walime koroshoIpo siku yale mshamba makubwa na yenye rutuba nzuri yanayo milikiwa na wazungu pamoja na wanasiasa tutawanyanganya na kuwapa wananchi ili tuepuke hii aibu ya kupewa misaada ya chakula karne hii.
Endelea kujiliwaza.Boss, endelea kujiliwaza na habari za zamani za kitongoji duni cha Kibera. UNDP huwa hawabahatishi, wanawajengea vyoo kwasababu hakuna mwaka ambao huwa hampo kwenye top 10 ya nchi za Afrika ambazo % kubwa ya watu ndio huwa wanadondosha mzigo hadharani na vichakani. Yaani chini ya 25% tu ya watz ndio huwa wanatumia vyoo. [emoji1] Ndio hii ramani ya 'top 18 countries in Africa' kwenye fani ya kunya hadharani, mijini, vijijini, kote kote. π
Waigeni Zimbabwe basi au hamthubutu.ile ardhi tuliyompa dangote ajenge kiwanda, ipo siku tutampokonya tuwape watanzania walime korosho
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko Thika...Karibu Sana Kenya.
Nyie mnajielewa mnapigwa Kung Fu je?Ndio maana wachina wanawanyuka viboko nyie nyang'au, hamjielewi.
Soko la mahindi ni kubwa sana hapa Kenya so hio fursa ya kuunda hela isikupite.Mkulima mie! View attachment 1359593
Hakuna biashara ngumu na ya kichaa kama kilimo!Soko la mahindi ni kubwa sana hapa Kenya so hio fursa ya kuunda hela isikupite.
Ngoja tumalizane na wapinzani kwanzaWaigeni Zimbabwe basi au hamthubutu.
Tamu Sana especially organic farming tena unakuza na kuvuna when demand ipo juu na supply iko chini otherwise utalia hasara Kama unapanda na kuvuna wakati moja na washindani wako.Hakuna biashara ngumu na ya kichaa kama kilimo!
Mchina keshawanyuka nyie, hata msemeje.Nyie mnajielewa mnapigwa Kung Fu je?
Nilisikia wakisema inaitwa sitilesi.
Huyu officer wa nchi gani?Nilisikia wakisema inaitwa sitilesi.
Mahindi ya GMO πππkila mtu kwa sasa anafaidi soko la kenya, iwe mganda msomali au hata marekani. Tena wote wanafaidi kwa bidhaa ambazo wakenya wasingekuwa wazembe kupitiliza wange lima na wavune.
Wacha wakenya waendelee kuongeza madeni huku wakinunua mahindi mexico -nchi tajiriπππ