Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Kenya kuna pesa na pesa iko Kenya. Bila shaka huyu mkulima kwa sasa anajihisi ameshinda Jackpot kwa kupenya soko la Kenya. Kwa nini isiwe nchi nyingine yoyote masikini inayozunguka Tanzania bali ni Kenya tu yenye uchumi mkubwa na tajiri ndiyo inayomtia kiwewe?
Ni ndoto ya kila mkulima kutoka Tanzania kutaka kuuza mazao yake Kenya ili aweze kutoka kwenye lindi la umasikini.
nyinyi limeni kisha tutakuja kununua. peSa zIko. ustie shaka!Na ndio ndoto ya kila mkenya anawaza vyakula vya Tanzania tu na ardhi yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongelea wakenyaHuyu kwenye hii video awe makini maana tayari amejianika, atavurugwa sana na kurudishwa nyuma, jamaa wana roho nyeusi.
Umeongelea wakenya
Watakuja tu kuzuia mpakani hizo nyanya kwa siku mbili zioze
Kama sio magufuli mngeendelea kutuburuza tu,sasa hivi maziwa na siagi ya kenya hakuna kabisa
Wazee wakujibrand eti wanalima parachichi na viazi. Ukienda njombe utawakuta wamejazana uko wanagombania parachichi na viaz lakini ukija huku wanasema wao ndio hulima.
Sent using Jamii Forums mobile app