Mkumbisheni Raisi kwamba Nguvu inayotumika kuwapeleka kaburini wateule wake inastahili

Mkumbisheni Raisi kwamba Nguvu inayotumika kuwapeleka kaburini wateule wake inastahili

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Helolloooo
Hizi off target hatuzipendi tunataka malaika watoa roho wapige panapostahili.

Tutamaliza bia zote hadi tutaenda kunywea kwenye masufuria ya viwandani.
FB_IMG_1774635044059.jpg
 
Yaani afanye mauaji mo29, achia mbali aliogiza watekwe na kuuwawa, ajifanye anaumizwa na watu kushangilia video vya viongozi walioko madarakani kwa mauaji akiwemo yeye? Yaani inatakiwa ifikie hadi hatuna ya kuzomea misafara ya maiti zao. Pumbavu zao, yaani waumize na kuua watu halafu wategemee jamii ikalie kimya unyama wao bila kujibu mapigo?
 
Eti "viongozi wetu" hao anaowaita viongozi na kutujumuisha mbona hatukuwachagua?

Anajuana nao yeye na namna gani wamepatikana ndio maana hata kuapishana waliapishana porini wakiwa na mabunduki .

Hao sio viongozi wetu hatukuwachagua na wala hatuwatambui tukianzia na yeye hapo.
 
Back
Top Bottom