Yaani afanye mauaji mo29, achia mbali aliogiza watekwe na kuuwawa, ajifanye anaumizwa na watu kushangilia video vya viongozi walioko madarakani kwa mauaji akiwemo yeye? Yaani inatakiwa ifikie hadi hatuna ya kuzomea misafara ya maiti zao. Pumbavu zao, yaani waumize na kuua watu halafu wategemee jamii ikalie kimya unyama wao bila kujibu mapigo?