Mkumbuke mwalimu wako.

Mkumbuke mwalimu wako.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Inawezekana mwalimu wako uliyempenda sana shule ya msingi,O-level au high school yupo humu JF.
Hebu jaribu kuelezea wasifu wake,mwonekano n.k,labda unaweza kuwasiliana naye tena kama mlipotezana siku nyingi.

Mi kuna mwalimu Mwiteni(mmama) anafundisha history,Mwl Flora(civics),Juma Marmo(Hisory),Kengere Khamis(shule ya msingi),Ngina,Mguna,Nela,Utajiju,Ngoitanile,etc.
 
Primary aliitwa mwl sista cecilia(marehemu kwa sasa), o level mwl lydia (anaumwa kansa ya tumbo kwa sasa, so sad), varcity mwl simba alinifundisha landlaw I&II yuko nondo mbaya!
 
Primary aliitwa mwl sista cecilia(marehemu kwa sasa), o level mwl lydia (anaumwa kansa ya tumbo kwa sasa, so sad), varcity mwl simba alinifundisha landlaw I&II yuko nondo mbaya!
pole yao aisee,so sad
 
Mwalimu Philipo Mulugo kwa sasa anafundisha Zimbabwe Ireland, alinifundisha formular ya kuchochea kuni mbichi na zikaivisha .
 
Mwalimu Philipo Mulugo kwa sasa anafundisha Zimbabwe Ireland, alinifundisha formular ya kuchochea kuni mbichi na zikaivisha .

haupo serious au unatuma madongo!
 
Mwal Nahato, mwalimu wa english p5.
Ms mushi mwl wa english p3
mwalimu mikah wa jiografia
nilikuwa nawapenda sana. Mwalimu.mikah named his daughter after me, alikuwa ananipenda kweli jamani.
 
Ikiwa wataka jua how am serious, kwanza niambie wewe umezaliwa one nineteen ipi?
nikieleza utakuwa umeshajua umri wangu bhana na JF yote watanielewa mi mtu wa kizazi gani,hebu tumia ujanja mwingine
 
Mwal Nahato, mwalimu wa english p5.
Ms mushi mwl wa english p3
mwalimu mikah wa jiografia
nilikuwa nawapenda sana. Mwalimu.mikah named his daughter after me, alikuwa ananipenda kweli jamani.

Unadhani kwanini alikuwa anakupenda?
 
mwl haule aka nyau mwl mlasu mwl mafumiko mwl PAPALIKA WOTE KIGONSERA
 
Back
Top Bottom