Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Inawezekana mwalimu wako uliyempenda sana shule ya msingi,O-level au high school yupo humu JF.
Hebu jaribu kuelezea wasifu wake,mwonekano n.k,labda unaweza kuwasiliana naye tena kama mlipotezana siku nyingi.
Mi kuna mwalimu Mwiteni(mmama) anafundisha history,Mwl Flora(civics),Juma Marmo(Hisory),Kengere Khamis(shule ya msingi),Ngina,Mguna,Nela,Utajiju,Ngoitanile,etc.