Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Kuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.