Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Huyo anataka huruma ili arudishwe kwenye system.Wivuu huzaa chuki na roho mbayaa, kijana mwenzio anajituma kwenye kilimo, na jembe halimizi mtuu.... ww unaanza kujifananisha na ww ulijifanya mganga .
Alaf hapi familia yao sio pangu pakavu na watoto wake wote wanasoma feza
Angekuwa anafanya kimya kimya ningemuona kweli yupo bize na kilimo.
Ila hiyo mipicha na video ni sawa na bongo movie.
Asisahau kuweka Youtube ili watu wamuone zaidi