wankuru nyankuru
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 495
- 775
Tangu nijiunge na jamiiforum sijawahi kutana na thread ya kipumbavu na kijinga kama hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo anatafuta huruma ili arudishwe kwenye system.Anawaonyesha hater wake kuwa I am ok
Hi mkuu.Nimekuelewa sana. Ila wengi hawajakuelewa
Kumbe unapenda eeh [emoji38]Weka picha na video hapa nikuone ukiwa shamba.
Post tu mkuu tuone unavyopambana kwenye kilimo.Kumbe unapenda eeh [emoji38]
Anajaribu kutuonesha kwamba ana furaha.Kuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
Kilimo baada ya fungu la kukosa.....kwa laana alizonazo hata alime Nchi nzima hatatoboaWee ni mtu mjinga sana. So kilimo ni kitu ambacho hakifai!??!
Kwa hiyo unataka wote tuwe kama kina Mang'ola? Tusifike mashambani tuajiri mameneja....Post tu mkuu tuone unavyopambana kwenye kilimo.
Ukienda pale Mang'ola utawakuta Wakii na Peter kwasu wanalima mashamba makubwa ya vitunguu. Zaidi ya heka 100 lkn huwezi kuwaona shambani na wameweka mameneja ndiyo wanafanya kazi hiyo
HeheheKuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
Kuna tofauti ya kupambana na kilimo na kufanikiwa kwenye kilimo.Kwa hiyo unataka wote tuwe kama kina Mang'ola? Tusifike mashambani tuajiri mameneja....
Hebu jisikilize vizuri halafu utajijua tatizo lako liko wapi.
Point yako ni nini?Kuna tofauti ya kupambana na kilimo na kufanikiwa kwenye kilimo.
Ukiwa unapambana na kilimo utajipiga mipicha na kujichukua video ukiwa umeshika nyanya, mahindi n.k kama vile upo sokoni unauza.
Ukifanikiwa kwenye kilimo picha na video zitakuwa zinaonesha umenunua hiki, umejenga hiki kwa kilimo n.k
Peter kwasu na Wakii wamefanikiwa kwenye kilimo cha vitunguu na huwezi kuwaona mashambani halafu gari zao ni zile defender za polisi na land cruser za taasisi.
Wakii sasa hivi ni mbunge ila hawa jamaa wanamashamba makubwa shamba lake moja ni sawa uwanja wa mkapa tena unaweza kuwa mdogo, mashamba yapo mengi tena wanatumia kilimo cha kumwagilia
Mbona unamsifia Ali Hapi?Point yako ni nini?
Mbona kama hueleweki? Umekazana kuwasifia wanaume wenzio....
Hatuwezi wote kua na mipesa ya kuajiri mameneja wala kua na mahekari makubwa lakini haituzuii kufanya kilimo na kinatunufaisha kwa kadri ya mtaji wetu,
Sasa wewe endelea kusifia wanaume wenzio.
Kumpangia mtu namna ya kuishi maisha yake kuna walakini, hujui kama hizo picha zina wamotivate na wengine?Mbona unamsifia Ali Hapi?
Siwezi kumsifia mwanaume mwenzangu ila huyo Hapi anatafuta huruma ili arudishwe kwenye system.
Point yangu, aache kujipiga mapicha na mavideo. Afanye kimya kimya
Hiyo ni mifano ya watu ambao wamefanikiwa na hawajipost
Mwanaume kujipiga mipicha na video kujipost ni dalili kuonewa huruma
Hana lolote
Achana na jobless wa jf watakustress tu hawana la maana. ni full negativityKumpangia mtu namna ya kuishi maisha yake kuna walakini, hujui kama hizo picha zina wamotivate na wengine?
Kuliko kukaa kufanya uchawa hata wewe nakushauri tuingie shambani tukalime, asikwambie mtu, kilimo kinalipa.
Pole sana.Kumpangia mtu namna ya kuishi maisha yake kuna walakini, hujui kama hizo picha zina wamotivate na wengine?
Kuliko kukaa kufanya uchawa hata wewe nakushauri tuingie shambani tukalime, asikwambie mtu, kilimo kinalipa.
Upuuzi mtupuKuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156