Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
Kipindi cha magu walikuwa miungu watu. Sasa hivi anatafuta huruma arudi kwenye system.Kila mtu ni Bora
Hiyo ni ajira kuliko ukuu wa wilaya kwahiyo aache kujipiga picha ili atafute huruma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha magu walikuwa miungu watu. Sasa hivi anatafuta huruma arudi kwenye system.Kila mtu ni Bora
picha itakupoteza ndgKuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
Amechoka kuwa chawa wa binadam ameamua kumtegemea Mungu...Okay good
bado ww chawa wa mama.. subiri uyo mama Ako nae.....kama jiwe...Kama mtu anaweza kupretend kuwa mkulima akafanikiwa kupanda hadi kuvuna mazao yake basi awezeshwe ili azidi kupretend na kulima zaidi. Mleta uzi kama ulivyosema kuwa ulipretend kuwa mganga basi wewe ni mchawi kamili. Mganga na mchawi ni kitu kimoja tu. Kitendo cha kufikiria kujiita mganga kilisikumwa na roho ya kichawi uliyo nayo
Yaani ukishakuwa apointed na rais hutakiw kuishi maisha yako?una uhakika gani kama huo ndio uhalisia wao
Hiyo ni ndoto huyu aliyesema wastaafu wanawashwa washwa yani kiufupi akimlenga mzee wa msoga ukiwa kiongozi unahitaji hekima sana uongozi hauhitaji kiburi au majivuno Mungu atakupandisha na atakushusha kwa muda mfupi sana kweli walaaniwe wamtegemeaye mwanadamuAnakaa nyuma nyuma sana ilitakiwa kipindi hiki ndio apige uchawa hasa hadi mama amkumbuke
Achana nae mjinga huyu. Mwenzie anapiga hela yeye amebaki kukariri maisha.Ana pretend kua mkulima? Ukulima ni ulemavu?
Nimekuelewa sana. Ila wengi hawajakuelewaKuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
.
Kuna vijana wangapi wamejiajiri kwenye kilimo na hawajipigi picha?
Yeye aendelee kulima kwa kutulia bila kupiga picha zake aweke mitandaoni ili atafute huruma
Kaulize kwanza bei ya hizo ho ho supermarket ndio uje uandike huu uzi wako vizuri.Kuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
Nimecheka kwa hiyo story yako, si kwa ajili ya ukulima wa Happy.Kuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
We c mganga, mlogeKuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
Weka picha na video hapa nikuone ukiwa shamba.Mimi najishughulisha na kilimo na nikienda shamba hua napiga picha/video na kupost.
Anawaonyesha hater wake kuwa I am okKuna kipindi niliwahigi ku-pretend Mimi ni mganga wa kienyeji. Hakuna kitu kilicho kuwa kin niuma kama kuwaambia watu Mimi mganga halafu hawabishi yani.
Wanakubali na wanakuwa na amani kabisa kwamba Mimi mganga. Dah kimoyomoyo nilikuwa naumia sana. I was like "hawa jamaa wameona nini kwangu mpaka wawe na amani ndani yao kwamba Mimi mganga?"
Ndicho ninacho kiona kwa Bwana Mdogo Ali Hapi. Mwisho wa siku he will become what he pretend to be.
View attachment 2726156
Ha ha ha ha haNimecheka kwa hiyo story yako, si kwa ajili ya ukulima wa Happy.
Upande wa Happy, yeye ameshajikomboa. Maana alinyoosha kwenye Kilimo, labda ungesema products zake zimekosa soko, kinyume na hapo huyo ametoboa.
Alitenguliwa tarehe 27 au 28 July, 2021, tangu ametenguliwa mwaka umeshapita, maana yake ana Kiinua mgongo chake cha tangu akiwa DC hadi RC, si chini ya milioni 80 anaenda kuikinga. Anaenda kutanulia project yake ya Kilimo.
Huyo si mwenzako huyo.