Mkumbusheni Ali Hapi: "You will eventually become what you pretend to be"

Anawaonyesha hater wake kuwa I am ok
Huyo anatafuta huruma ili arudishwe kwenye system.
Hater wake unajipiga maphoto kila muda.
Bado inamuuma kutokuwa DC. Ni sawa na Harmonize kwa Mondi.
Kaa tulia fanya maisha. Angepost anajenga ghorofa, anaendesha gari kali au amefungua duka kubwa ningemuona yupo OK.
Sasa upo shamba halafu unasema upo OK.
Tuache utani
 
Anajaribu kutuonesha kwamba ana furaha.

Anasahau kuwa hatuhitaji atuoneshe bali tuone sisi wenyewe
 
Post tu mkuu tuone unavyopambana kwenye kilimo.
Ukienda pale Mang'ola utawakuta Wakii na Peter kwasu wanalima mashamba makubwa ya vitunguu. Zaidi ya heka 100 lkn huwezi kuwaona shambani na wameweka mameneja ndiyo wanafanya kazi hiyo
Kwa hiyo unataka wote tuwe kama kina Mang'ola? Tusifike mashambani tuajiri mameneja....

Hebu jisikilize vizuri halafu utajijua tatizo lako liko wapi.
 
Hehehe
 
Kwa hiyo unataka wote tuwe kama kina Mang'ola? Tusifike mashambani tuajiri mameneja....

Hebu jisikilize vizuri halafu utajijua tatizo lako liko wapi.
Kuna tofauti ya kupambana na kilimo na kufanikiwa kwenye kilimo.
Ukiwa unapambana na kilimo utajipiga mipicha na kujichukua video ukiwa umeshika nyanya, mahindi n.k kama vile upo sokoni unauza.
Ukifanikiwa kwenye kilimo picha na video zitakuwa zinaonesha umenunua hiki, umejenga hiki kwa kilimo n.k
Peter kwasu na Wakii wamefanikiwa kwenye kilimo cha vitunguu na huwezi kuwaona mashambani halafu gari zao ni zile defender za polisi na land cruser za taasisi.
Wakii sasa hivi ni mbunge ila hawa jamaa wanamashamba makubwa shamba lake moja ni sawa uwanja wa mkapa tena unaweza kuwa mdogo, mashamba yapo mengi tena wanatumia kilimo cha kumwagilia
 
Point yako ni nini?
Mbona kama hueleweki? Umekazana kuwasifia wanaume wenzio....
Hatuwezi wote kua na mipesa ya kuajiri mameneja wala kua na mahekari makubwa lakini haituzuii kufanya kilimo na kinatunufaisha kwa kadri ya mtaji wetu,

Sasa wewe endelea kusifia wanaume wenzio.
 
Mbona unamsifia Ali Hapi?
Siwezi kumsifia mwanaume mwenzangu ila huyo Hapi anatafuta huruma ili arudishwe kwenye system.
Point yangu, aache kujipiga mapicha na mavideo. Afanye kimya kimya
Hiyo ni mifano ya watu ambao wamefanikiwa na hawajipost
Mwanaume kujipiga mipicha na video kujipost ni dalili kuonewa huruma
Hana lolote
 
Kumpangia mtu namna ya kuishi maisha yake kuna walakini, hujui kama hizo picha zina wamotivate na wengine?

Kuliko kukaa kufanya uchawa hata wewe nakushauri tuingie shambani tukalime, asikwambie mtu, kilimo kinalipa.
 
Achana na jobless wa jf watakustress tu hawana la maana. ni full negativity
 
Wivuu huzaa chuki na roho mbayaa, kijana mwenzio anajituma kwenye kilimo, na jembe halimizi mtuu.... ww unaanza kujifananisha na ww ulijifanya mganga .
Alaf hapi familia yao sio pangu pakavu na watoto wake wote wanasoma feza
 
Kumpangia mtu namna ya kuishi maisha yake kuna walakini, hujui kama hizo picha zina wamotivate na wengine?

Kuliko kukaa kufanya uchawa hata wewe nakushauri tuingie shambani tukalime, asikwambie mtu, kilimo kinalipa.
Pole sana.
Kalime, nitakuja kununua bidhaa zako ila huko shamba huwezi kuniona nalima.
 
Upuuzi mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…