Mkumbusheni Ali Hapi: "You will eventually become what you pretend to be"

Wivuu huzaa chuki na roho mbayaa, kijana mwenzio anajituma kwenye kilimo, na jembe halimizi mtuu.... ww unaanza kujifananisha na ww ulijifanya mganga .
Alaf hapi familia yao sio pangu pakavu na watoto wake wote wanasoma feza
Huyo anataka huruma ili arudishwe kwenye system.
Angekuwa anafanya kimya kimya ningemuona kweli yupo bize na kilimo.
Ila hiyo mipicha na video ni sawa na bongo movie.
Asisahau kuweka Youtube ili watu wamuone zaidi
 
🀣🀣🀣
 
Huyu jamaa nilikua simkubali kwa tabia zake alipokua Mkuu wa wilaya na Mkuu wa Mkoa.

Kwa anayofanya sasa namuunga mkono kwasababu anaonyesha mfano kwa vijana wengi jinsi kutafuta fursa kwenye kilimo.
 
Kuwa mkulima ni ujinga? Wabongo nyie mbwa sana
 
Huyo anataka huruma ili arudishwe kwenye system.
Angekuwa anafanya kimya kimya ningemuona kweli yupo bize na kilimo.
Ila hiyo mipicha na video ni sawa na bongo movie.
Asisahau kuweka Youtube ili watu wamuone zaidi
Ali hapi ni mtu na kupenda kuonekana namfaham kabla hajawa mwenykiti CCM vijana . hyo ni personality yake. toka kipindi yupo DC, RC alikuwa anajishughulisha na kilimo .
 
Come to the light
 
Wewe acha kujitia aibu, kama huelewi uliza au jielimishe, ila kwa ufupi kilimo ndio uchumi wa nchi na kodi kubwa inatoka hapo
 
Inashangaza kukuta thread kama hii inawekwa kwenye trending!
Kwani ukulima ni tatizo au ni ugonjwa? Kama kupretend mtu unakuwa kweli, basi tungekuwa na marais wengi sana nchi hii kwa awamu moja. Maana karibu kila mwanasiasa anajiona rais!

Duh, kweli kazi ipo!
Na hata kama anapretend hayo ni maamuzi yake.
 
Kweli mwanadamu ni changamotoo[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa ulitaka aendelee kutembelea vieteee na misafara wakati uhalisii hali yake sasa ni mtu wa kawaidaa au ulitaka aishi vipi...??? Hayo sasa ndo maisha yale aliyoamuaa kuyaishii kufanya kilimo au unadhani ali Hapi akilima anaenda kuuza Kkoo???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ana pritend kwani hajishughulishi na kilimo baada ya kuenguliwa kwenye teuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…