Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Ikiwa ni Mungu pekee Ndiye agawaye Mamlaka Kwa watu.
Ikiwa ni Mungu pekee ndie anahitaji Mtawala kuyatenda yaliyo mapenzi yake.
Katika Dunia hii ambayo Shetani na Mawakala zake wako kwenye vita Kali dhidi ya Kanisa.
Basi Mtawala yoyote yule ambaye Mkono wake utachangamana na BABELI katika kuwapotosha Wana wa Mungu kwa miujiza, Utajiri n.k , MUNGU HATASITA KUINGILIA KATI.
HASIRA ya Mungu ni dhahiri na hakika, ikiwa ni yeye aloahidi kuwafedhehesha na kuwasagisha meno manabiii wooote wa uongo na walimu wao hewa, BASI MKONO WAKE HAUTASITA KUMSHIKISHA ADABU YOYOTE ANAYEUNGA JITIHADA ZA KUWAPOTEZA WATU WA MUNGU...
Hayo mamilioni anayogawa, mwambieni Kuna Masikin, Yatima, Wajane, Wagonjwa, aka, upeleke huko naye atabarikiwa.
Aache habari za Kutumia Pesa za watanzania kunufaisha Hawa majangili wa Dini ili hali anajua kabisa ni Majangili.