Enyi ndugu zangu walimu kama ambavyo ipo info' hiyo kwamba kesho tarehe 15 ndo ajira zawalimu zitatangazwa so wasiwas wangu ikipita siku ya kesho pasipo kutangazwa itakuwaje ? kwani vichwa vingi vya walimu mindset zao zimekaa mkao fulani hivi namipango mingi sana wengi mnajua mtu ataathirikaje kisaikolojia,....
NOTE; walimu wenzangu naomba tupige moyo konde pia tujipange kwa lolote wakitoa sawa nawasipopoa pia tusiumie saaaana kwan serikali yetu tunaifaham,
ahsanteni ndugu zangu ila WAHESHIMIWA WIZARANI WAKUMBUSHWE SI UNAJUA MAMBO MENGI HAPA TZ