Mkumbusheni waziri wa Elimu

Mkumbusheni waziri wa Elimu

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
Enyi ndugu zangu walimu kama ambavyo ipo info' hiyo kwamba kesho tarehe 15 ndo ajira zawalimu zitatangazwa so wasiwas wangu ikipita siku ya kesho pasipo kutangazwa itakuwaje ? kwani vichwa vingi vya walimu mindset zao zimekaa mkao fulani hivi namipango mingi sana wengi mnajua mtu ataathirikaje kisaikolojia,....
NOTE; walimu wenzangu naomba tupige moyo konde pia tujipange kwa lolote wakitoa sawa nawasipopoa pia tusiumie saaaana kwan serikali yetu tunaifaham,
ahsanteni ndugu zangu ila WAHESHIMIWA WIZARANI WAKUMBUSHWE SI UNAJUA MAMBO MENGI HAPA TZ
 
Wallah ikipita hiyo kesho namfata majaliwa hadi kwake! Hahaha! Loh!
 
kiukweli watangaze mwaka mzima tupo nyumbani........!
zamani ajira hasa za walimu zilikuwa ontime ila siku hizi hali tete tena serikali inajisifu kabisa kuwa ina uhaba wa walimu wakati maelfu ya walimu wapo mtaani.... mi nashangaa raisi huwa anatumia kigezo gani kumteua Waziri WA ELIMU
 
Mi yangu macho na maskio! Hapa nawaza katavi,tandaimba,simiyu na kishumundu! Hahaha!loh! Mtafutano!
 
kiukweli watangaze mwaka mzima tupo nyumbani........!
zamani ajira hasa za walimu zilikuwa ontime ila siku hizi hali tete tena serikali inajisifu kabisa kuwa ina uhaba wa walimu wakati maelfu ya walimu wapo mtaani.... mi nashangaa raisi huwa anatumia kigezo gani kumteua Waziri WA ELIMU

calm down my dia! Let us meet kesho! Usikose kunambia umetupwa chaka gani! loh!
 
teh! teh! teh! ni nowma.......!
 
Acheni mapepye!Kama ni kweli Watatangaza kesho saa sita usiku!, serikali ya CCM ni sikivu kama CRDB- the bank that listen!
 
Hata bure sitaki ajira hiyo wajinga wanachukuwa laki tatu dodoma mateacher hawajalipwa miezi kadhaa
 
Bhana sina imani na serikali yetu kwani wamekalia sera kuliko vitendo,ndugu zangu kesho hamna kitu kama icho ila msubirie next week,kwa maana huwa wanatoa siku 14 za kujianda ili uweze kufanya Mambo yako kwa uhakika zaidi
 
Back
Top Bottom