Kweli tupu. Kuna jitu linalalamika cheti nnacho na kazi sipati. Ukiangalia cv imeandikwa kama ya chekechea.
Namind kitu kimoja tu, consultant wa kibongo analipwa kiduchuu na akija kaburu analipwa 10 times. Japo tumeshavumbua, unaita kaburu mmoja kanjanja anakuja kuuza sura mnapiga wote kazi.
Mungu alishusha manna kwa wana wa israeli, ila hakuwaokotea wala kuwatafunia. Na kila asubuhi iliwabidi watoke nje kuokota. Uvivu nyumba ya njaa!!
Nina marole model kama wawili hivi walioamua ku Taste the Water, na wamevuka
1. Huyu kijana alikua Vodacom, leo anaweka heshima mjini na kampuni yake ya Marktech,
2. Huyu tulikua nae Dezhou University, China leo ana portfolio ya Solar power yenye annual icome US$ 2 mil.

Huyo wa Voda ni MAKI..............., Huyo mdau kama mchawi! Ana kampuni ya Makholding ya Malori, mahoteli, mambo kibaoooooo! Wachaga noma!!!!!!!Ila si wanasema maktech wako shares????????
(Kila mtu mjini namjua mimi!!!!!!!!! Nipunguze ushankupe)