King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
Kweli tupu. Kuna jitu linalalamika cheti nnacho na kazi sipati. Ukiangalia cv imeandikwa kama ya chekechea.
Namind kitu kimoja tu, consultant wa kibongo analipwa kiduchuu na akija kaburu analipwa 10 times. Japo tumeshavumbua, unaita kaburu mmoja kanjanja anakuja kuuza sura mnapiga wote kazi.
Mungu alishusha manna kwa wana wa israeli, ila hakuwaokotea wala kuwatafunia. Na kila asubuhi iliwabidi watoke nje kuokota. Uvivu nyumba ya njaa!!