MKURABITA: Wasomi Kutoka Kimaisha Si Lazima Uwe Mchuuzi... Njia za Kisomi Ni Kama Hizi!

Kweli tupu. Kuna jitu linalalamika cheti nnacho na kazi sipati. Ukiangalia cv imeandikwa kama ya chekechea.
Namind kitu kimoja tu, consultant wa kibongo analipwa kiduchuu na akija kaburu analipwa 10 times. Japo tumeshavumbua, unaita kaburu mmoja kanjanja anakuja kuuza sura mnapiga wote kazi.

Mungu alishusha manna kwa wana wa israeli, ila hakuwaokotea wala kuwatafunia. Na kila asubuhi iliwabidi watoke nje kuokota. Uvivu nyumba ya njaa!!
 
Hahahaaaaaaa @ Mana! Japo kwenye consultation mbonga ndogo ila inakuwa ni kazi ya 1 time na pamoja na udogo maslahi yanazidi mshahara ambao consultant angepata angekuwa kaajiriwa.
 
Nina marole model kama wawili hivi walioamua ku Taste the Water, na wamevuka
1. Huyu kijana alikua Vodacom, leo anaweka heshima mjini na kampuni yake ya Marktech,
2. Huyu tulikua nae Dezhou University, China leo ana portfolio ya Solar power yenye annual icome US$ 2 mil.
 
lara1 me pia mdau wa theards hizi japo bado nnamawazo mgando natumaini yatayeyuka kwa mada zako kazi nzuri sana
 
Nina marole model kama wawili hivi walioamua ku Taste the Water, na wamevuka
1. Huyu kijana alikua Vodacom, leo anaweka heshima mjini na kampuni yake ya Marktech,
2. Huyu tulikua nae Dezhou University, China leo ana portfolio ya Solar power yenye annual icome US$ 2 mil.

Ndo Mapinduzi yanayo takiwa? Hakunan kisicho wezekana, kicho takiwa ni kujitoa mhaga bila kujali nini kitaenda kutokea Mbele ya safari,
 
Kweli tupu. Kuna jitu linalalamika cheti nnacho na kazi sipati. Ukiangalia cv imeandikwa kama ya chekechea.
Namind kitu kimoja tu, consultant wa kibongo analipwa kiduchuu na akija kaburu analipwa 10 times. Japo tumeshavumbua, unaita kaburu mmoja kanjanja anakuja kuuza sura mnapiga wote kazi.

Mungu alishusha manna kwa wana wa israeli, ila hakuwaokotea wala kuwatafunia. Na kila asubuhi iliwabidi watoke nje kuokota. Uvivu nyumba ya njaa!!

That true kabisa, Hii nchi yetu tuna furusa nyingi sana ila ndo kama hivyo tunaangamia ka kukosa maarifa,
Na endapo tutaendelea kuitegemea Serikali hakika hakuna tutakacho fanya, Vitani watu huenda hata na mawe huku wakisubiri kutumia Bunduki watakazo pata kutoka kwa maadui walio uwawa
 
Nina marole model kama wawili hivi walioamua ku Taste the Water, na wamevuka
1. Huyu kijana alikua Vodacom, leo anaweka heshima mjini na kampuni yake ya Marktech,
2. Huyu tulikua nae Dezhou University, China leo ana portfolio ya Solar power yenye annual icome US$ 2 mil.

Huyu jamaa ana makampuni mengi sana kwa sasa na hotels ni mtu mwingine na ameajili watu wengi sana.
 
Hii thread imechakatwa vizuri kazi nzuri sana.
 
Lara1 umeolewa pls be my wife,ni kiwa na mwanamke kama wewe,mwenyewe mawazo ya maendelo sito kuwa masikini he he he..
 
Nimeipenda hii thread coz imenitoa mwituni na kuniweka barabarani
 
Nina marole model kama wawili hivi walioamua ku Taste the Water, na wamevuka
1. Huyu kijana alikua Vodacom, leo anaweka heshima mjini na kampuni yake ya Marktech,
2. Huyu tulikua nae Dezhou University, China leo ana portfolio ya Solar power yenye annual icome US$ 2 mil.

Huyo wa Voda ni MAKI..............., Huyo mdau kama mchawi! Ana kampuni ya Makholding ya Malori, mahoteli, mambo kibaoooooo! Wachaga noma!!!!!!!Ila si wanasema maktech wako shares????????

(Kila mtu mjini namjua mimi!!!!!!!!! Nipunguze ushankupe)
 
Wasichana wenzetu wangekuwa kama lara 1 tusingeti.wa tiwa kirahisi kwa kudanganywa na vi bia na vigari vya mafataki.
 
Last edited by a moderator:

Nice and best idea. Ila kwa mwalimu hususani remoted area unamshauri afanye nin ambae extra money yake anaipata kwa kuuza ubuyu na mshahara wake ndo km unavyojua?
 
Huyo wa Voda ni MAKI..............., Huyo mdau kama mchawi! Ana kampuni ya Makholding ya Malori, mahoteli, mambo kibaoooooo! Wachaga noma!!!!!!!Ila si wanasema maktech wako shares????????

(Kila mtu mjini namjua mimi!!!!!!!!! Nipunguze ushankupe)

Mwenye maktech anaitwa John Matau alikuwa vodacom miaka ya nyuma wakati telecom inaingia nchini.. Akatengeneza sana hela akaamua kujiajiri na kuacha kazi na kwenda kuanzisha maktech..

Heshima kwake John Matau popote alipo maana ni mchapakazi sana bila kumsahahu mwenzake kamanda Juma mwenye prime power
 
lara 1,ur financial genius n xpert.nimebarkiwa sana na mafundsho yako.
 
Back
Top Bottom