MKURABITA: Wasomi Kutoka Kimaisha Si Lazima Uwe Mchuuzi... Njia za Kisomi Ni Kama Hizi!

MKURABITA: Wasomi Kutoka Kimaisha Si Lazima Uwe Mchuuzi... Njia za Kisomi Ni Kama Hizi!

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!

Episode 2!

Niliposema naanza vita vya kupambana na fikra za umasikini na mawazo mgando watu walijua labda nabeep! ama nimekurupuka, ama nitakata tamaaaa! Nooooooooo! Im here to stay! I LOVE THE CHALLANGE!

Nimepata response mbali mbali kwenye episode zilizopita! Napenda kuwakumbusha kuwa freedom of speech n opinion, haya ni mawazo yangu, simlazimishi ama kumshurutisha mtu kuyakubali! Ila nayatoa kwa moyo mmoja kwa wale ambao labda hawakuwahi kungali mambo in a bigger picture kama hivi. Siwezi kutoa mamboyote kwa mkupuo! Noooo! Kidogo kidogo tunakwnda!

Mada iliyopita niliposema watu wawekeze automatically akili za wengi zikarukia kufungua fremu! Yaani wasomi wakanilaanije sasa? Yaani binti na PHD zetu unadai tukauze lonya kariakoo? Unbelievable! Chonde chonde wasomi wa taifa hili si mimi ni mgongano wa kimantiki tu! Leo nagonga ikulu kwenu sasa kwenye mambo yenu ya INTRAPRENUERSHIP.

Naomba kwanza kuwapa FACT kuwa believe it or not kuna wabongo Wengi (My be kiasi), bongo hii hii Darisalama wanalipwa WHOOPING 15MILLIONS AND ABOVE TSH/ MONTH!!!!!!!!!!! Anhaaaaaaaaaaaa! Tena sio ma C.E.O. Na sio dili ni mshahara halali! Najua mtabisha na kuona ni impossible well IT IS A FACT!!!!!!!! Kama huamini chungulia TRA PAYE za watu ndo kidogo unaweza stuka Game Imechange!!!!!!!!!! Jiulize how much are you making? (Sio kimajungu ni hatua ya 1 kubadilisha mambo)

LIFE IS TOO FAST! In a flash unajikuta unaretire! Jiulize huu mwaka wa ngapi upo kazini? Umepanda vyeo vingapi? Na bila external forces kwa acessment ya leo hii kuna dalili ukaishia cheo gani? Ukipata majibu chukua hatua!!!!!!!!

All im sayin is simple!

1. Have a plan and work on the plan to get there! Watu wngi kazini wamerizika, wanajiachia tu. Hatwendi hivo. Have a clear concrete plan labda Mimi lazima niwe CFO, iwe isiwe. Hapo ndo una mwaka tu kazini unaweka lengo hilo. Sasa u CFO hauji kwa kumuomba Mungu tu! Jitihada baba jitihada! Anza na kukusanya magamba hayo ya kuwa CFO, usikimbie umande komaa na mitihani ya bodi. Mind you maofisa mko wengi na kila mwaka wanaajiriwa, so YOU HAVE TO STAND OUT FROM THE REST!!!!!!!! Hapa ndo watu wanaamua kuloga sasa ili kupata nyota! Ila ukijituma na kuwa different utaonekana tu. Baada ya kupata hivo vyeti anza kujionesha una uwezo wa hio post ya CFO kwa kugoole mambo yanayotokea duniani ambapo bado hapo kwenu hawajayajua. Kwenye vikao unatoa mapendekezo hatariiiiiii! Kila mtu anakuona sio mwepesi! Hivo hivo automatically watu wanaanza kukupendekeza wenyewe uchukue nafasi. Ukikaa whining shirika ili wanawekana wenyewe na ndugu zao, wenyewe hao walitoka vijijini kama wewe, so you can get there if you decide.

Ukizubaa mda umeenda, majukumu yamekuzidi, hujasoma, vyeti huna, kazi yenyewe huielewi elewi vizuri, ndo unaweka mikono kichwani! Yesu Wangu na kuanza kushinda kwenye maombi upande cheo! (Kuomba is a good thing by the way but not practical coz unaweza kupewa umezeeka)

Kwenye INTRAPRENEURSHIP mafanikio hayaji by chance ni HARDWORK na COMPEPETION tu! Saivi watoto wadogo wana Deadly Ambitions. I got a friend kamaliza 2010, Keshapata CPA, anamalizia ACCA, na mwaka huu anagraduate MBA, na yupo kazinii! GAME IMECHANGE COMPLATELY!!!!!!!!! TIMING AT ITS HIGHEST!!!!!!!!

2.LOOK AT THE BIGGER PICTURE!!!!!!!!!!!!! Start your own companies and make them sucessfull! Ukiwa HR jipange ufungue HR Consultant firm, mnajiunga hata 10. Kama ni Engineer be a Consultant. Kama ni Dr kwenye mradi start your own project. Tusirizike! Kupewa 3m na 10 yrs of experiance is c.rap . I know people who started their little things lakini now they are UNTOUCHABLES!!!!!!!!!! Alifanya kwa mtu, kajikusanya kaanza chake. I have repect for Engineers wanajitahidi sana kuanzisha makampuni yao. Auditors kibao walikuwa kwenye payroll saivi ni OWNERS!!!!!!
Malecturer wamezinduka wanagombeaje Consultation sasa! Kila mtu ana agency yake ya uconsultant. Million zile za chuo pale wameona ni uzushi! They got in the bigger picturer. Marketers wamefungua Brand manaement companies wanavuta tu mshiko. Lawyers nao wahaya wanamwaga radhi.

Soma mchezo uingie dimbani! Jua bwana after miaka kadhaaa na sisi tunataka kuwa na kampuni yetu. Mambo kama Nigeria! Kila mtu bosi wake mwenyewe!!!!!!!!!!

I aint sayin its easy, piece of cake, lainiiiiiiii! NOOOOOOOOO!!!!!!!!! ITS HARD (MAYBE EVEN HARDER) BUT ITS POSSIBLE!!!!!! And its somethin worth working on! Hata ukishindwa atleast you tried. The Sooner You Are In The Bigger Picture, The Earlier You Will Make Shit Happen!!!!!!!!! So ukianza ukiwa young utafaidi zaidi maisha. Rember Organisation nyingi ni Pyramidal, Juu kuna THE ONLY CHOSEN FEW!!!!!!!!!! You need even bigger balls to get to the top.

Inspiration.
IN THIS LIFE WE GET FEW CHANCES IF YOU DONT GRAB THOSE CHANCES TIGHTLY BY THE BALLS YOU WILL END UP WOUNDERING HOW YOU BECAME SECOND RATED IN LIFE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Note: Ukipata hela usiizike mashambani kwa kujenga ikusanye kwa kulaunch kampuni! Owning a company aint a joke!
 
Thanks a lot mine for a piece of ushauri....!
 
umekuja na idea mpya'naifanyia kazi nitakujibu soon
 
nimeipenda hii.. acha niongeze speed one day nije kua Technical Manager wa anglogold ashanti
 
Thanks for the ride sis!!! Ican see the break of dawn through your S-h-(-_t piece of mind,but could this be general like that?or just for a choosen few?let me go back to my seat.
 
Thanks for the ride sis!!! Ican see the break of dawn through your S-h-(-_t piece of mind,but could this be general like that?or just for a choosen few?let me go back to my seat.

OFCOURSE DEAR!!!!!!!!!!! To get there you need to CHOOSE YOURSELF!!!!!!!!! No body can ever do that for you (Well except kwa wale baba zao wanaomiliki kampini)
 
lara 1, nimeipenda sana hii


''...I aint sayin its easy, piece of cake, lainiiiiiiii! NOOOOOOOOO!!!!!!!!! ITS HARD (MAYBE EVEN HARDER) BUT ITS POSSIBLE!!!!!! And its somethin worth working on! Hata ukishindwa atleast you tried. The Sooner You Are In The Bigger Picture, The Earlier You Will Make Shit Happen!!!!!!!!! So ukianza ukiwa young utafaidi zaidi maisha. Rember Organisation nyingi ni Pyramidal, Juu kuna THE ONLY CHOSEN FEW!!!!!!!!!! You need even bigger balls to get to the top....''

Lazima uamue kuchagua eneo/fani moja na uwe mzuri kweli kweli kwenye hilo eneo, vinginevyo tutakua tunapishana na hela kila siku. Sitakubali tena kuwa mtu wa average!!!!!!!!!!!!

Ubarikiwe sana
 
Kuna mijitu jf ina akili ka za kuku,we thanda acha upuuzi wa kukopi li sred lote kwa responce ya one line,usiwe mbulula broda,btw good thinking lara keep it up ila isiwe maneno tu wenzio twadrive vitu vya ukwee
 
Lara kama kashukiwa na roho vile. Hii huduma yako inanigusa sana.
 
Kuna mijitu jf ina akili ka za kuku,we thanda acha upuuzi wa kukopi li sred lote kwa responce ya one line,usiwe mbulula broda,btw good thinking lara keep it up ila isiwe maneno tu wenzio twadrive vitu vya ukwee

Hahahaaaaaaaa! Mi natembea kwa miguu seriously! Nakusanya mtaji si utani! LOL! Ujue watu unaweza kuta kitu anakijua kabisaaa, ila hajakaa kukitafakari kwa kina na kuunganisha matukio ya sasa na baadae! Unapomuwekea usoni Paaah! kama hivi kweli inasaidia kuchukua hatua japo kidogo!!!!!!!!!!!

All i want is vijana turealise our potentials!
 
Lara kama kashukiwa na roho vile. Hii huduma yako inanigusa sana.

Hahahaaaaaaaaaa! Jst remember i might be talkin shit but that shit may be beneficial n a turning point for you if you read inbetween the lines.
 
Usemayo ni sahihi,mtu unatakiwa uishi kwa malengo,short and long term goals ukiishi bila goals utaishia kuwaza kuolewa kila uchao while miaka inakata
Hahahaaaaaaaa! Mi natembea kwa miguu seriously! Nakusanya mtaji si utani! LOL! Ujue watu unaweza kuta kitu anakijua kabisaaa, ila hajakaa kukitafakari kwa kina na kuunganisha matukio ya sasa na baadae! Unapomuwekea usoni Paaah! kama hivi kweli inasaidia kuchukua hatua japo kidogo!!!!!!!!!!!

All i want is vijana turealise our potentials!
 
I support you Lara Ushauri wako ni mzuri. Think big and take action you will get at the top
 
huyu mdada ni balaaa kweli kweli......!!! nimeishakuweka kwenye kundi la kina Malila, Kubota na Chasha, my list is growing...

wachache tutakuelewa ila wengi watakubeza tu!
 
Naona lara uwe na firm yako kama ulivyo shauri, uwape watu consultation, make it an office!!!! nami nimekamata ushauri wako ni mhimu katika maisha yangu,.......... nahisi kama nikulipe vile kwa hii consultancy!! hata mimi niliamua kuanza consultancy yangu kama independent consultant......... japo it is not such easy but am encouraged by your article! I am pushing forward the idea.......... God bless you, guys changamkieni hii!
 
lara 1 waambie hao wanaofikiri vyeti peke yake vitawatoa..

Kuna mtu anaitwa Francis Cheka alikuwa bondia miaka ya nyuma,, jamaa anaengeneza 2.8 million kila siku iendayo kwa mungu katika workshop yake ya plastic pale morogoro... Na jamaa darasa la saba tu na anaendesha Nissan Morano na ana nyumba zisizopungua sita na bado nyingine zinaendelea kujengwa..

Ukitaka kumjua vizuri soma Gazeti la Mwananchi la Leo ndio ujue Elimu ya Mtaani ni muhimu kuliko ya Darasani.. Piga hesabu mwenyewe mtu anaezalisha 2.8 kila siku kwa mwezi anatengeneza bei gani, na jamaa ni la saba lakini kaajiri watanzania wenzake 18..

Wakati kuna mijitu ipo humu kibao inalipwa mishahara yetu hii ya million 2 kasoro lakini wanajiona wapo mbali kisa wana Ki Toyota na kiwanja Chanika...

My doughter lazima asome World class university na my dream university ni University of California Barkerey au university of Alabama Clemson tide ambazo ada zake kwa mwaka ni almost million 80 sasa unafikiri kwa mishahara itawezekana.. Lakini mtu kama cheka na la saba yake anaweza akafanya ubishi akasomesha mtu alabama
 
Last edited by a moderator:
Naona miaka 2 imezaa matunda sasa lara 1 hii mada umeleta wakati muafaka kwangu embu nisaidie jina la kusajili kampuni nshaenda Brella twice yammo kwenye list nimegoogle nimechoka niko serious please if can assist ni.kupm
 
Last edited by a moderator:
Ujue mujini humu kuna mafursaa kibaoooooooooo!!!!!!!!!!!!!! Mtu ukiamua kuchakarika haiwezekani ukafa njaaa!

Tatizo watu tunapenda kubembelezwa na kupewa matumaini hewa!!!!!!!! Mimi bana i call a spade a spade!

Umemaliza chuo way back, maybe kutokana na majukumu naelewa umeshindwa kuendelea on the meantime, ila lazima uwe na clear focus kuwa in 3 years lazima uwe certified, au hata una masters. Kama umeamua wewe ni wa kuajiriwa tu then hizi basics kama magamba hazikwepeki. Ukifanya mzaha Redundancy itakuhusu huko mbeleni! And you should infact be ashamed! Watu wanaanza na Certificate kazini, wanajikongoja hadi Masters jioni kwa jioni!

The classic ya vijana wengi ukiwauliza kwanini hujaendelea post degree? Utasikia "Uwezo dada yangu unabana! Masters zenyewe 6M huko mi bado kazi sina na ndugu uwezo hawana, acha tu nikomae kitaaa" Shame on You! (Seriously) Yaani umekaa umepass verdict yako kuwa simply because u dont have the cash basi huwezi kuendelea kusoma! How can you find somethin you aint lookin for? Kuna Mascholarship Kibaoooooooooo!(Usifikiri nitakuletea hapa, ingia web za vyuo chimba humo!) Tena unalipwa pale UDSM. Sasa coz umejipumzisha, hupambani hakuna atakae kwambia. All u have to do is kuingia tu kwa website ya chuo. Machance yanatangazwa kutokana na nyie wenye vigezo kutokuwa na habari wanapewa wasio na vigezo.

Yaani inasikitisha mtu ana GPA clean 4 and above yuko home, anangojea kazi mwaka wa 2. Ilibidi mmoja nimkokote kwa gharama zangu kumpeleka Wizara ya Elimu akajaze form za kuomba scholarship ya kwenda nje. Mwaka jana katua China kwa ufazili mnono complete wa serikali ya J.K afu watu wanalalamika fursa hakuna???? All she had to do was to feel a form!!!!! Tena bure! Sema jamani eeeh mimi fursa sizijui nionesheni!

We ukikaa unalia lia cry yourself a river! Amka ingia kwenye system, mambo utayapenda mwenyewe!
 
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!

Episode 2!
Sasa u CFO hauji kwa kumuomba Mungu tu! Jitihada baba jitihada! Anza na kukusanya magamba hayo ya kuwa CFO, usikimbie umande komaa na mitihani ya bodi.

Yesu Wangu na kuanza kushinda kwenye maombi upande cheo! (Kuomba is a good thing by the way but not practical coz unaweza kupewa umezeeka)

I know people who started their little things lakini now they are UNTOUCHABLES!!!!!!!!!! Alifanya kwa mtu, kajikusanya kaanza chake. I have repect for Engineers wanajitahidi sana kuanzisha makampuni yao. Auditors kibao walikuwa kwenye payroll saivi ni OWNERS!!!!!!
Malecturer wamezinduka wanagombeaje Consultation sasa! Kila mtu ana agency yake ya uconsultant. Million zile za chuo pale wameona ni uzushi! They got in the bigger picturer. Marketers wamefungua Brand manaement companies wanavuta tu mshiko. Lawyers nao wahaya wanamwaga radhi.

You really know what is practical Lara 1, I like you. God bless you!
 
Back
Top Bottom