Amun Ra
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 4,713
- 7,218
Life is not fairHiko alikofanya huyo kwa mtoto wa kiume wa miaka 9 unaona kiko sawa?!
Au wewe ni aina ya watu sababu haliko kwako ni sawa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Life is not fairHiko alikofanya huyo kwa mtoto wa kiume wa miaka 9 unaona kiko sawa?!
Au wewe ni aina ya watu sababu haliko kwako ni sawa?
Nimeumia sana. Kazini Huwa Kuna mambo ya ajabu sana. Ikiwa hakufanya kitendo hicho basi Mwenyezi Mungu akamtazame na haki itendeke.Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa.
Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa kumlawiti mwanafunzi huyo wa kiume aliyekuwa anasoma darasa la nne katika vyoo vilivyopo shuleni hapo.
Uamuzi huo umetolewa leo, Novemba 29, 2023 na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Herieth Mwailolo, wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kutolewa hukumu.
“Kwa kuzingatia uzito wa ushahidi uliotolewa mahakamani hapa wa mashahidi watano ukiwemo ushahidi wa mtoto mwenyewe, mahakama hii imeridhika pasina kuacha shaka yoyote kuwa mshtakiwa ulitenda kosa hilo kinyume cha sheria,” amesema Hakimu na kuongeza;
"Baada ya kukutia hatiani, mahakama hii inakuhukumu kifungo cha maisha jela ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hii na haki ya kukata rufaa iko wazi iwapo hujaridhika na hukumu hii."
Awali, wakili wa Serikali, Leon Kaikuye alidai kesi hiyo iliitwa kwa ajili ya kutolewa hukumu na upande wa mashtaka upo tayari kwa ajili ya uamuzi.
Katika kesi hiyo ya jinai namba 308 ya mwaka 2023, Mwalimu huyo anadaiwa kumwingilia kinyume cha maumbile mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka tisa kinyume cha kifungu cha 154 (1) (a) na (2) cha Sheria ya Kanuni za Adhabu (Penal Code).
Mwananchi
Una matatizo 😅Dah Wagalatia kibao kimetugeukia maamae. Tujifiche wapi?
adriz inamankusweke Accumen Mo Mlolongo hydroxo Mufti kuku The Infinity
baba yako nae ni mfiraji?.Wanaume ni viumbe katili kuwahi kutokea ktk uso wa dunia😔
Siku hizi kila mtu ana siri yake moyoni, sina research kamili ila mwanaume yoyote anapossibility kubwa ya kula ndogo, niamini mimibaba yako nae ni mfiraji?.
absolutely true..nami ninataka kujua ikiwa Dingi yake nae mshirika.Siku hizi kila mtu ana siri yake moyoni, sina research kamili ila mwanaume yoyote anapossibility kubwa ya kula ndogo, niamini mimi
Hawezi kukupa jibu maana moyo kichaka, kila mtu na siri yake, huyo mwalimu mpaka kufikia umri huo amegonga wangapi sema tu usiri ni mkubwa sanaa,.absolutely true..nami ninataka kujua ikiwa Dingi yake nae mshirika.
Wajinga usiwe unawajibu waache wapambane sawasawa na ujinga waoSiku hizi kila mtu ana siri yake moyoni, sina research kamili ila mwanaume yoyote anapossibility kubwa ya kula ndogo, niamini mimi
Huwezi fanya mjumuisho kwa mpumbavu mmoja ukaniunganisha na mimi humo dada.Wanaume ni viumbe katili kuwahi kutokea ktk uso wa dunia😔
Binadamu mbaya haijalishi awe ametokea wapiDah Wagalatia kibao kimetugeukia maamae. Tujifiche wapi?
adriz inamankusweke Accumen Mo Mlolongo hydroxo Mufti kuku The Infinity
Hapana ni pande zote ila kwa ukatili wanawake pia mmo tena mbaya zaidi nyie kumtumbukiza mtoto kwenye ndoo ya maji mkitanguliza kichwa kisa safari ya Dar ni jambo la kawaida sanaWanaume ni viumbe katili kuwahi kutokea ktk uso wa dunia😔