Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

Nimeumia sana. Kazini Huwa Kuna mambo ya ajabu sana. Ikiwa hakufanya kitendo hicho basi Mwenyezi Mungu akamtazame na haki itendeke.
 
Siku hizi kila mtu ana siri yake moyoni, sina research kamili ila mwanaume yoyote anapossibility kubwa ya kula ndogo, niamini mimi
Wajinga usiwe unawajibu waache wapambane sawasawa na ujinga wao
 
Wanaume ni viumbe katili kuwahi kutokea ktk uso wa dunia😔
Hapana ni pande zote ila kwa ukatili wanawake pia mmo tena mbaya zaidi nyie kumtumbukiza mtoto kwenye ndoo ya maji mkitanguliza kichwa kisa safari ya Dar ni jambo la kawaida sana

Au kuwatumbukiza kwenye vyoo
Yaani kuna wakati mnatisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…