Zemanda
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 8,323
- 18,051
Huyu mwanamke alifunguliwa mashitaka sasa? [emoji848]Wanaokwenda Jela SIO wote wana hatia
Juzi kuna Mzee alichomekewa kesi ya ulawiti nikaambiwa nikamuhoji vizuri maana Polisi walishamkamata Mzee wa watu wakamtia ndani Safari mahakamani kwenye kumbana dogo akasema hajalawitiwa na huyo Mzee Ila Mama yake wa kufikia ndio alimpanga aseme hivyo sababu Mzee alikua anamtaka kimapenzi kwa hio akataka afungwe kwa kesi ya ulawiti Ila ukweli dogo hakua amelawitiwa, ndio baada ya kugundua hivyo zikafanywa process Mzee akaachiwa
Usicheze na Mwanamke