Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

Huyu mwanamke alifunguliwa mashitaka sasa? [emoji848]
 
Hapo tunahoja loyalty ya mke kwa mume wake. Mwanaume anapoharibu mke unatakiwa kuwa bega nae sio lazima udanganye ila fanya unachoweza kumlinda asidhurike maana ndio kazi yako.

Wewe unaweza kwenda kumripoti baba yako mzazi polisi kwasababu umemuona kalala na binti mdogo?
 
Ndo ishatokea sasa, usikute alishamuonya na kuvumilia sana lakini mwamba akawa anaendelea kisirisiri mpaka mkewe alipokuja kugundua tena
Nachelea kuamini ilitokea mara kadhaa huku mke akijua. Najua kwa wanawake wakihisi tu unataka kutafuna beki tatu utaona ameshafanya mpango binti arudi kwao hata kabla haujatongoza

Kwa kilichotokea hapo ni kwamba mwanamke atakuwa hakuwahi kujua so amekuwa shocked kustukia mzee anakula mzigo wa damu changa.

Halafu kitu kingine, kuna tofauti ya kubaka na kufanya mapenzi na raia alie chini ya umri wa utu uzima.

Wanawake huwa wana assume wanaume wanabaka mabinti kumbe muda mwingine ni consensual situations. Kubaka ina maanisha matumizi ya nguvu wakati wa kuomba game.
 
Vipi mahusiano yao yanaendeleaje kwasasa?
 
Hali inatisha sana, Hakuna wa kumuamini ,Anyway It's a w/end ,tukae kijanja 👇🏻

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Wote mnaomlaumu mke hamna akili. Mkurugenzi alikua anabaka acheni kutetea ujinga yasije warudia mabinti zenu
Kwani huyo mbakwaji alilalamika?
Binti alikuwa anaenjoi penzi l a bebi wake DED wala hakuwa na noma sema wivu wa mama mwenyenyumba ndo kaamua kumwaga mboga ili wakose wote.

Ukiwa na feza afu mwanamke ukawa mtu wa kumpiga matikio ya kitisha atakuombea ufilisike ili jeuri ikuoshe
 

Sijui huwa hawafikiri matokeo yake kwa mapana?!
Sasa ada za Shule za watoto Hela itatoka wapi?
Mahitaji ya familia nani atatoa Hela ya huduma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…