Mkurugenzi badala ya kufanya na kusimamia usafi ambao ni kero mjini, aibukia pengine

Mkurugenzi badala ya kufanya na kusimamia usafi ambao ni kero mjini, aibukia pengine

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949


Nimesikiliza ila bado napingana na juhudi zinazo semwa juhudi hizi ni usiasa tu hazina utekelezaji tunataka kuwaambia iwàpo taka mnataka zisitolewe njee mpaka gari ipite mnataka kuficha uzembe wenu wa kubeba taka Ili ziwe majumbani na zisionekane barabarani Sasa mnataka zitunukie jambo ambalo hatukubali tutazitoa nje barabarani kama mtaendelea kujivuta ktk kuja kuzibeba.

Mkurugenzi Bi.Mwajuma nadhani taka zilikuwa zikitolewa siku muafaka wa gari kupita na hakuna mwananchi aliyekiuka ila nyinyi manispaa ndio mlikuja kukiuka utaratibu Sasa msije mkawakemea wananchi wasitoe taka Ili wanukiwe majumbani na hii ni hatari zaidi Kwa afya ya jamii nyinyi jipangeni kama Kila alhamis gari ipite itakuta tumeweka taka wabebe mizigo yao.
 
Back
Top Bottom