DOKEZO Mkurugenzi City Casino Mbeya ambaye ni raia wa kigeni atishia kuua Waandishi wa Habari wanaofuatilia tuhuma za kumfanyia ukatili mke wa mtu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Wao hua ni kamali na ujambazi baharini na kuuza madawa
Kuna mmoja namjuwa kipindi hicho alikuwa anakaa na miss tz yule aliyekuja kuolewaga na bikionea wa kibongo..
Aise alikuwa anampelekesha sana,kuna wakati walipelekwa afrika kusini ilibidi interpol wasaidie ili warudidhwe bongo
Ila badaye yule mbulgaria alitimuliwa nchini kabisa

Ova
 
Dada amechukuliwa kazini na kuingizwa kwa nguvu garini tena muda wa kazi. Maana yake pale kulikuwa na wafanyakazi na wateja wa hapo Casino.....hakuna mtu hata mmoja aliyeona!!? Na dada hakupiga kelele au ikoje hii? Maana kama labda wafanyakazi wanamuogopa boss kutoa ushahidi wa tukio hili, je wateja?

Hiyo hoteli walikoenda na ile purukushani wameingiaje na purukushani yote hiyo mpaka chumbani na dada kufanyiwa huo ukatili bila msaada wa mtu yeyoye, nako pia hakuna ushahidi? Mmh
 
Duuh, Huyo Meneja Muro Chawa wa Mzungu na huyo Mzungu wanajikuta wao ni nani?

Hapa ndipo Wananchi wanamkumbuka Magu na kusema laiti angekuwepo Magufuli....Mzungu angejamba cheche
 
Hivi unabakwa usipige kelele?
Dada kaiba kiasi gani cha fedha, aseme ukweli.
 
Kwa kweli inafikirisha kwanini asipige kelele wakati anachukuliwa na aliposhushwa hotelini mapokezi kwanini asingepiga kelele, sana sana nionavyo huenda mzungu kiasi alichompa hakikuwa matarajio yake ukizingatia kwamba yeye ni boss/tajiri. Kwenye hili najiuliza swali moja mzungu angempa labda laki 2 au 5 hivi tungeyasikia haya? Kuna wanaume wengine anamchukua mwanamke anafika naye room wanashindwa kuafikiana bei ila unakuta jamaa anaforce hivyo hivyo anamlala, ndo hapo unakuta demu anapayuka kwamba kabakwa mara ooh! ili mradi tu amkomoe jamaa


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Duuh, Huyo Meneja Muro Chawa wa Mzungu na huyo Mzungu wanajikuta wao ni nani?

Hapa ndipo Wananchi wanamkumbuka Magu na kusema laiti angekuwepo Magufuli....Mzungu angejamba cheche
Kwahiyo alivyokuwepo yeye hakukuwepo matukio yoyote ya watu kunyanyaswa!
 
Casino lipo upande gani au yale ma vifaa ya game pale CITY PUB? Utakuta huyo mdada kaiba hela alafu anataka kutuhusisha kwenye kumuonea huruma kwenye majanga yake?
Usidhani ukarukia hitimisho, umehoji pande zote mbili au mihemko tu
 
Pesa huinyamizisha sauti yenye haki siku zote... Haki kuipata ni mchakato, unyanyasaji umekua kwa kasi na kwa style mbalimbali, watu ni wengi hutendwa, serikali vitu kama hivi vikionekana kwenye umma wachukulie hatua na kuipa nafasi kuidadisi watu wapate haki zao.. Tena mgeni anafanya unyanyasaji kwa mzawa katika ardhi yake na serikali inakaa kimya.
 
Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Mkuu tuhuma hizi zinamushkeli, hasa ukiamua kuisikiliza stori ya tuhuma yenyewe na kuitafakari!

Mwanamke mtu mzima kulazimishwa mapenzi kwa njia hizo na kushindwa kuweka vigezo vya ushahidi wa tukio ni jambo lisilowezekana.
 
Kwa nguvu alifungwa kamba au alitembea mwenyewe kwanini asipige kelele!
 
Kwahiyo alichukuliwa kazini kwa nguvu na walivyofika hotelini akaingizwa hotelini kwa nguvu na akavuliwa nguo kwa nguvu na bado alinyamaza hata kupiga kelele za kujaza watu kashindwa!
Receptionists hawakuwepo wakati analazimishwa kuingizwa chumbani๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†. Tuache utani Kuna hoteli zingine siyo lazima upitie reception hasa kama receptionists wamepangwa.
 
Receptionists hawakuwepo wakati analazimishwa kuingizwa chumbani๐Ÿ™†๐Ÿ™†๐Ÿ™†. Tuache utani Kuna hoteli zingine siyo lazima upitie reception hasa kama receptionists wamepangwa.
Kwahiyo ukifika hotelini unajihudumia mwenyewe! Yaani unatoa pesa na kujichukulia funguo au siyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ