KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Reputation ya kampuni haiwezi kufa kwa makosa ya MTU mmoja!
 
Guard wold inamilikiwa na Mkanada? Sasa mbona mnakataa Scotland Yard kuja kuchunguza wasiojulikana?
 
Garda world ni kampuni ya ulinzi ya kimataifa, huyo boss wenu ni kibaraka tu. Tafuteni mawasiliano ya makao yao makuu mtoe malalamiko yenu.
ni kweli hapa tunaplan tutume email Canada na tuende ubalozi wa Canada kushinikiza maana Kwa hapa bongo kesi zote tunashinda lkn utekelezaji unaharibiwa Kwa rupia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…