M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Walinz watu poa Sana. Ukiwa na demu usiku maeneo Yao ya ulinzi short-time anakulinda kwa 5,000 unakojoa freshKmmke Tatz walinzi wengu shule ndogo sa jamaa anawachukulia poaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walinz watu poa Sana. Ukiwa na demu usiku maeneo Yao ya ulinzi short-time anakulinda kwa 5,000 unakojoa freshKmmke Tatz walinzi wengu shule ndogo sa jamaa anawachukulia poaa.
Kawaida sana hiyo kama hakuna haja ya kukutana ana kwa anaHii yq spika ni kali
Reputation ya kampuni haiwezi kufa kwa makosa ya MTU mmoja!Say No to GARDAWADA.
Jeshi la Polisi ambao mnasajili kampuni za Ulinzi take this note kama redflag ya uhalifu ujao.
Wadau/wateja epukeni hii kampuni soon Walinzi/wafanyakazi wataanza kufanya hujuma kulipa kisasi.
Tia kwenye dustbin hii kampuni wakose wateja
Huu ni ukweli mchungu ndugu yangu mnyunguliKmmke Tatz walinzi wengu shule ndogo sa jamaa anawachukulia poaa.
Uliposikitisha hapo hapo ndo nikakuona azonto na weweUlipotaja neno KELO nikasikitisha kusoma hapo hapo.
Guard wold inamilikiwa na Mkanada? Sasa mbona mnakataa Scotland Yard kuja kuchunguza wasiojulikana?Salute.Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kelo ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world kiukweli kiongozi wetu LuQmay tangu umepata kazi kwenye kampuni yetu sisi kama walinzi upande wa ultimate zamani kiukweli umekuwa tatizo kubwa na ni kelo katika ufanyaji kazi kwanza tangu umepata nafasi ya kuendesha kampuni ukitokea tigo hujawahi kuitisha kikao ujue wafanyakazi wako wanapitia shida gani na Nini malengo yako katika kampuni badala yake umekuwa (MUNGU MTU) naomba nieleze hapa kampuni ya ultimate kabla yakuwa Gardaworld imepitia mikononi mwa wamiliki wengi na Kila walipokuwa wanaamua kuuza kampuni Kwa mmiliki mwingine tulikuwa tuitwa kinafanyika kikao tunaeleweshwa na karbu hao maboss wote watu Ziballa & shivva nk walikuwa wanafanya press tunajulishwa Kila kitu na walitoa pesa ya Asante nakumbuka nilipokea 1.2m maana nilifanya kazi Kwa miaka kumi na kipindi hicho chote tukiwa ultimate Kila baadae ya miezi sita mkurugenzi aliitisha kikao tukasema kero zetu na zikafanyiwa kazi sasa tangu kampuni ya ultimate iuzwe na kuchukuliwa na Garda world kiufupi tunaona tunaendeshwa kihuni hivi inakuwaje tunaenda kumuona mkuu wa mkoa mh chalmila hatupati ugumu wa kumuona iweje kwako mkurugenzi ndugu luQmay utuwekee uzibe tusikuone kuleta kero zetu pili kampuni imeuzwa mmiliki ambao ni wazungu wamekupa fedha wafanyakazi walipwe kama fidia ya kubadili mikataba Yao kutoka ultimate kwenda Garda world lkn kutokana na roho yako mbaya unataka kutuzima kinguvu Ili fungu uchukue na ni pesa nyingi ukiweza kutuzima tunaamini utatajirika sana tatu week mbili nyuma umenitisha kikao tumekuja kwenye kikao umetuwekea spika ndani ya ukumbi Yani wewe na team yako ya upigaji munaongea bila kuonekana sisi tunasikia tu kwenye spika mtu hatumuoni it's ok hata kama mmeamua kutufanya wajinga lkn sio Kwa level hiyo kikao kilivyoshindikana ukapanga kikao tarehe Saba ulivyosikia na sisi tunakuja na wanasheria wetu mkaahirisha kikao Kwanini kiongozi luQmay usijifunze Kwa wenzio akina Eliuta mwanjawike walikuwa wanakula na kipofu alikuwa hakimbiii wafanyakazi mwisho usifikiri utatuendesha kirahisi kama unavyodhani pia sisi tulidhani wewe mtu mweusi uwe mkombozi wetu Kwa hao wazungu lkn wewe ndio umekuwa mwiba kwetu hata kama ukifanikiwa kutudhurumu it's tutakuombea hata Dua mbaya tu maana mahakamn tukipekeleka kesi tukishinda unakuja kuappeal then uinaweka kapuni na kutishia kufukuza kazi wafanyakazi ila Kwa hili la malipo ya mikataba tutaenda hata ubalozi wa Canada kushinikiza waiitwe wamiliki wa kampuni mwisho jifunzeni G4s na SGA uone kampuni zinavyoendeshwa.
Unasema??????Reputation ya kampuni haiwezi kufa kwa makosa ya MTU mmoja!
kwahiyo wakiwa ngumbaru ndiyo sahihi haki zao za msingi ziminywe..!?Walinzi wengi Ngumbaru
Acha dharauWalinzi wengi Ngumbaru
Una maana gan mkuuu? Umemuelewa mtoa mada kazingumzia kununuliw ultimate na kuingizwa kwenye jina la garda kama sehem ya kianzio cha kuibuka kwa garda nchiniTofautisha kampuni kuuzwa na kampuni kubadili jina ili ku-avoid tax.
kama vile huijui Zoom wewe.Mnafanya kikao na mtu asiyeonekana. Hii kali 😅
Kujitia ujuajiUlipotaja neno KELO nikasikitisha kusoma hapo hapo.
Sawa, ila kengo ni kubadili jina, kuuza ni kivuli tu..kampuni imeuzwa 100% mwanzo ilimilikiwa na muhindi marehem shivacom asaiv inamilikiwa na wazungu 100%
ni kweli hapa tunaplan tutume email Canada na tuende ubalozi wa Canada kushinikiza maana Kwa hapa bongo kesi zote tunashinda lkn utekelezaji unaharibiwa Kwa rupia.Garda world ni kampuni ya ulinzi ya kimataifa, huyo boss wenu ni kibaraka tu. Tafuteni mawasiliano ya makao yao makuu mtoe malalamiko yenu.