Duuuh! Ni haki kweli?Safi wafyeke haraka.
Nendeni CWTTulifanya kwa upendo jumamosi iliyopita tukakalipiwa na kutishiwa kwamba hatujaja kwa wingi tunamtania mkurugenzi sasa hiyo kesho ni lazima tunaomba kupaziwa sauti watumishi wa manispaa ya moshi
Ni makaburi ya wote yapo katikati wa wawekezaji wakubwa HUGOS CLUB na RED STONE NIGHT CLUBHayo makaburi yanahusika na nini? Ni ya Waislamu au Wakristo au ni ya Serikali?!
Shukrani.Ni makaburi ya wote yapo katikati wa wawekezaji wakubwa HUGOS CLUB na RED STONE NIGHT CLUB
Hii ni aibu , upumbwvu fulani hivi.Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?
Moshi manispaa ni halmashauri ambayo ofisi za CWT ni za ghorofa ni kama jicho la serikali lilipo mpaka sasa hakuna mtumishi aliyeruhusiwa kwenda CHAKUHAWATA licha ya juhudi nyingii wanasema ni maelekezo kutoka juuNendeni CWT
Haisikitishi bali inachekesha. Inachekesha kwa sababu kundi kubwa la watu wazima na akili zao wanaweza kutishwa na mtu mmoja na wakaishia kulalamika chini chini.Inasikitisha sana
Wanazikwa watu wote waislamu na wakristo pia wasio na diniHayo makaburi ni ya wakina nani? Kwanini ndugu zao wasisafishe?
Tuonee huruma hata kidogo mkuu tunatesekaHaisikitishi bali inachekesha. Inachekesha kwa sababu kundi kubwa la watu wazima na akili zao wanaweza kutishwa na mtu mmoja na wakaishia kulalamika chini chini.
Kama kuna mwongozo tupe tufanyaje ndugu yetuHii ni aibu , upumbwvu fulani hivi.
Huyu mkurugenzi nimempenda bure. Mi-tanzania inatakiwa ui-treat kinyama unyama kwa sababu ni mi-oga halafu imelala fofofo. Hata uki-iambia ipange foleni ya kukatwa shingo mmoja mmoja itafanya hivyo.Tulifanya kwa upendo jumamosi iliyopita tukakalipiwa na kutishiwa kwamba hatujaja kwa wingi tunamtania mkurugenzi sasa hiyo kesho ni lazima tunaomba kupaziwa sauti watumishi wa manispaa ya moshi
Acheni ujinga.Kama una uwezo wa kutusemea ngazi za juu tunaomba msaada wako maana baadhi ya shule zimefunga leo je? Kesho ni halali au ni unyanyasaji kwetu watumishi kwanini wasitumie mapato ya ndani kusafisha sehemu hiyo?
Nimefurahi kweli kweli. Bila kufanywa kitu mbaya namna hiyo mtazidi kulala.Tuonee huruma hata kidogo mkuu tunateseka
Mungu atunusuru sasa mzee kama kwa mfano walimu wakiwa hivi watoto wanaofundishwa si ndio watakuwa maboga na viazi maana hawa walimu watahamishia hasira zao huko au unasemaje?Huyu mkurugenzi nimempenda bure. Mi-tanzania inatakiwa ui-treat kinyama unyama kwa sababu ni mi-oga halafu imelala fofofo. Hata uki-iambia ipange foleni ya kukatwa shingo mmoja mmoja itafanya hivyo.
Hapo ndo ujue kama una mtoto shule za ssrikali imekula kwako reasoning ya mwanao itakuwa chini zaidi yetu labda ajitambue yeye binafsiAcheni ujinga.
Kama ninyi tunategemea kuwafunza watoto wetu jinsi ya kujitambua na kutetea haki zao basi tutarajie taifa la watu wasiojitambua na waoga.
Kwamba hamjui mkigoma mkatendewa kinyume cha sheria kuna mahakama?
Acheni uvivu fanyeni kaziKichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.
Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?
Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?