KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.

Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?

Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?

Hii ni aibu , upumbwvu fulani hivi.
 
Tulifanya kwa upendo jumamosi iliyopita tukakalipiwa na kutishiwa kwamba hatujaja kwa wingi tunamtania mkurugenzi sasa hiyo kesho ni lazima tunaomba kupaziwa sauti watumishi wa manispaa ya moshi
Huyu mkurugenzi nimempenda bure. Mi-tanzania inatakiwa ui-treat kinyama unyama kwa sababu ni mi-oga halafu imelala fofofo. Hata uki-iambia ipange foleni ya kukatwa shingo mmoja mmoja itafanya hivyo.
 
Kama una uwezo wa kutusemea ngazi za juu tunaomba msaada wako maana baadhi ya shule zimefunga leo je? Kesho ni halali au ni unyanyasaji kwetu watumishi kwanini wasitumie mapato ya ndani kusafisha sehemu hiyo?
Acheni ujinga.
Kama ninyi tunategemea kuwafunza watoto wetu jinsi ya kujitambua na kutetea haki zao basi tutarajie taifa la watu wasiojitambua na waoga.
Kwamba hamjui mkigoma mkatendewa kinyume cha sheria kuna mahakama?
 
Fanyeni mazoezi ndugu watumishi.Mnachoma kaloriz kidogo na kubadilishana namba za simu kudumisha uhusiano mwema.Tena mfyeke na kupalilia kwa kiherehere hadi apate sonona.
NB;Uongozi siyo unyampala.Kuna masaa baada ya kazi/kustaafu mtaonana tu.Sisi ni pipo!
 
Mkurugenzi anakusanya mapato atumie kuweka vibarua wa kufanya hiyo kazi.
La sivyo atoe amri wakazi wote wa Moshi wakafanye huo usafi.
Haki yenu ya mapumziko iko wapi? Mkataba wenu wa ajira na majukumu yenu kazi hiyo ipo?
 
Huyu mkurugenzi nimempenda bure. Mi-tanzania inatakiwa ui-treat kinyama unyama kwa sababu ni mi-oga halafu imelala fofofo. Hata uki-iambia ipange foleni ya kukatwa shingo mmoja mmoja itafanya hivyo.
Mungu atunusuru sasa mzee kama kwa mfano walimu wakiwa hivi watoto wanaofundishwa si ndio watakuwa maboga na viazi maana hawa walimu watahamishia hasira zao huko au unasemaje?
 
Acheni ujinga.
Kama ninyi tunategemea kuwafunza watoto wetu jinsi ya kujitambua na kutetea haki zao basi tutarajie taifa la watu wasiojitambua na waoga.
Kwamba hamjui mkigoma mkatendewa kinyume cha sheria kuna mahakama?
Hapo ndo ujue kama una mtoto shule za ssrikali imekula kwako reasoning ya mwanao itakuwa chini zaidi yetu labda ajitambue yeye binafsi
 
Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi.

Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi kesho tarehe moja asubuhi na mapema akiwa na jembe au fyekeo asimlaumu mtu kwa kitakacho mkuta. Sasa sisi kama watumishi tunahoji je hii ni haki? Manyanyaso haya yataisha lini kwetu?

Je, tusipoenda na ukizingatia ni siku ambayo si ya kazi hatua zitakazochukuliwa dhidi yetu si ni maonezi?

Acheni uvivu fanyeni kazi
 
Back
Top Bottom