TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Moderator imefika wakati sasa huo uzi hapo chini kutoka kwa Mzee Mwanakijiji unaozungumzia uchafu wa Mwang'onda Ufunguliwe ili ajadiliwe kwa haki kutokana na matendo yake ili Mungu achukue hatua zinazostahili dhidi yake .

Natanguliza shukrani
 
Hakika u mavumbi wewe na mavumbini umerudi wasalimie E.Mzena,I.Kombe et el hakika ulichora mstari wa kuufuata wala hautapindishwa kamwe mstari ni mweupe sana wala hautageuzwa kuwa mweusi kamwee
 
Moderator imefika wakati sasa huo uzi hapo chini kutoka kwa Mzee Mwanakijiji unaozungumzia uchafu wa Mwang'onda Ufunguliwe ili ajadiliwe kwa haki kutokana na matendo yake ili Mungu achukue hatua zinazostahili dhidi yake .

Natanguliza shukrani

Hapana achana nao tu mkuu
 
Ndiyo alikuwa mkurugenzi enzi zile Dr. Ulimboka alipotekwa na kuokotwa msitu wa Mabwepande akiwa yuko hoi bin taaban?

Tunamtakia kila la heri huko aendako.

Sio yeye , Ulimboka ilikua wakati wa Othman Rashid
 
Moderator imefika wakati sasa huo uzi hapo chini kutoka kwa Mzee Mwanakijiji unaozungumzia uchafu wa Mwang'onda Ufunguliwe ili ajadiliwe kwa haki kutokana na matendo yake ili Mungu achukue hatua zinazostahili dhidi yake .

Natanguliza shukrani

ha ahaaa
😛😝
Kwa hiyo Mungu anatumia maoni ya hapa JF kuchukua hatua stahiki kwa wote wanaotangulia mbele ya haki?
 
Asante kwa ufafanuzi.
 
AYU. :14:1
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.

AYU. :14:2
Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.

Pole sana kwa familia yake, Bwana awape faraja na matumaini ktk kipindi hiki cha majonzi
 
Dah nakumbuka enzi hizo kitaa kwenye daraja la Apson kabla ya kwa Zenna Kawawa, kuna jamaa alimuibia mbwa wake

Yule jamaa akipita nje ya ukuta wako kama mbwa wako ndani watavunja banda wamfuate sijui alikuwa anatumia nini

R. I. P Mzee Apson
 
Bwana alitoa, Bwana ametwaa
R.I.P Mwang'onda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…