TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Mkurugenzi Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Apson Mwang’onda (75), amefariki dunia leo Oktoba 7, nchini Afrika Kusini alikokuwa anatibiwa, familia yake imethibitisha.

View attachment 1226052
Rais Magufuli akimjulia hali Apson Mwang'onda hospitalini enzi za uhai wake
Pia soma
Yule mama lazima atumie hii nafasi kujinadi
 
Marehemu alikuwa CHAIN smoker wa miongo mingi!!! Highly likely kuwa ndio zilizo muathili!!!

Mkwere ni lazima alie sana kwani huyu ndiye aliyemuwuweka madarakani!!
And the worse thing... kafariki siku ambayo mkwere anasherekea siku yake ya kuzaliwa... october 7 ..
 
Pumzika katika Nyumba ya milelel Mzee Apson...

Pole wafiwa wote.
 
Afrika Kusini alipelekwa Na familia? Kwanini familia ithibitishe kifo cha Mtendaji Mkuu wa idara ya serikali? Taarifa hiyo Ina ukweli gani?
kunbe alikuwa bado ni mtendaji mkuu?
 
Mwambie ' Brazameni ' Jimmy asisahau Kupitisha Kitabu cha Maombolezo cha Msiba wa Baba yake kwa wana Darasa la Saba Wenzake wa ' Obey ' wa mwaka 1992 chini ya Mwalimu Mkuu Marehemu Mama Ng'ambi. Na kwa Kuanzia tu aanze upesi sana na Dada Brenda Msangi Boss Mkuu pale CCBRT Msasani kisha amuwahi na aliyekuwa Jirani yake wakati wakiishi Jirani na Maogesheo ya Mbwa pale ' roundabout ' mita chache tu kutoka Shule ya Msingi ya Obey Dada Mwasu Lubuva ( Binti wa Mzee Jaji Mstaafu Damian Lubuva ) Mimi mchango wangu pekee ambao nitautoa kwakuwa ni ' apeche alolo ' ni wa kupokea tu hiyo Michango, Kuihesabu Kiukamilifu kisha anaihakiki halafu namkabidhi Tom.

Poleni sana Familia ya Mzee Colonel Apson Mwang'onda, Bwana ametoa na Bwana ametwaa pia. Tupo pamoja hasa katika Kipindi hiki Kigumu mno na cha Majonzi ambacho mnakipitia na kikubwa tu nawaomba muwe Wavumilivu na tumuombee Mzee ili basi Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake kama Binadamu wengine, ampokee na amlaze mahala pema peponi Amen / Amina.

Sijajua kwa sasa Msiba upo wapi ila mkitusadia kutupa Maelekezo tutashukuru ili na Sisi wengine tuweze Kujumuika nanyi.
Jimmy nani chansa au?
 
Back
Top Bottom