TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Mzee Apson namkumbuka kipindi cha sakata la minofu ya samaki ,na zile vurugu za maziwa makuu ,jamaa yuko vzr

Kuna nyakati alikuwa akipita kwa Miguu hapo eneo la Mataa ' Salenda ' Darajani huku akiwa amevalia ' Kisela ' na ' Kofia ' ya Kikulima sana huku ' Fegi ' ikiwa mdomoni, kisha baada ya muda mfupi tu baadae utaona Msafara wa Rais Mstaafu Mzee Mkapa unapita. Kama kuna Watu ambao Ujasusi uliwaiva na wenyewe pia waliitendea vyema hiyo Fani basi Mmoja wapo ni huyu Baba Jimmy ( Marehemu Mzee Apson Mwang'onda ) Ni DG ambaye alikuwa ' hajishindilii ' tu Ofisini kusubiri Taarifa kutoka kwa FO's kama ' TipwaTipwa ' moja fulani hivi ' lililofurumushwa ' majuzi kati ambaye hata Kukimbia Kwake ilikuwa ni shida huku Kula Kula ' Mijinyama ' ndiyo kilikuwa Kipaumbele chake.
 
Pale Bongoyo, cross streets ni Mkwawa na Winding Ave. Viwanja vya wazee vile.

Kwa Mzee Lubuva mbele kidogo.

Mzee Kimario mpaka amefariki alikuwa anaandika kitabu cha "War Stories" nilikuwa namsihi Mfaume kitabu kichapishwe watu wapate habari.

Umenikumbusha mbali sana kwenye kiduka kile.

Kuna siku nimekaa na kichaa wangu Alpha Opanga pale, ananiambia ana bonge la project la kuweka vyoo vya kulipia Dar. Nikasema Alpha acha stories zako, hakuna kitu kama hicho. Baadaye kidogo, nakuja kukuta Dar kuna vyoo vile vile alivyovisema Alpha!

The sad thing was Alpha had nothing to do with that.

Mbona umemsahau pia na Mzee mwingine aliyekuwa na Historia yake nzuri tu hapa Tanzania Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mzee Kitundu ambaye alikuwa anakaa Mita chache tu kutoka Nyumba aliyokuwa akiishi Jaji Mstaafu Mzee Damian Lubuva?
 
Naam kaaa sana kidukani pale ,jioni unaingia kwenye court ya Mzee kimario kudunda kikapu

Ile mitaa siku hz watu hkn kabisa wote wamehama

Kuna Watu leo hii ndiyo wanajifanya Waanzilishi wa Coco Beach na Slip Way wakati Waanzilishi wenyewe wa Kuogelea katika hizo Fukwe zote mbili ( hata kabla bado hazijpewa hayo Majina ) baadhi yetu tupo na tunawatizama tu ' Wakuja ' wakitamba na Kujifanya wanaijua mno Oysterbay na Masaki nzima kuliko wale Wenyeji Waandamizi.
 
Mlioko Msibani tunaomba basi ' updates ' za Msiba ulipo ili na Sisi ambao kwa sasa tupo nchini Malawi Kimakazi tuanze Safari ya Kurejea Tanzania Jijini Dar es Salaam tuweze Kuungana na Familia katika Kipindi hiki Kigumu cha Majonzi na kisha kwa pamoja tuweze Kumuaga na Kumpumzisha Mzee Wetu huyu kisha haraka sana tuweze kurejea zetu hapa Lilongwe kama si Blantyre kuendelea na Majukumu yetu.
 
Rambirambi kwa mwalimu Mrs. Apson Mwang'onda, Thomas Mwang'onda na familia.

Mara ya mwisho Mama alikua Shule ya Oysterbay.

Bora wewe umejikita kwenye hoja ya msiba na kujitenga kwenye kundi la wengi, wanasahau huyu mtu ana ndugu, marafiki na jamaa wanaohitaji faraja na liwazo wakati huu.

Hii ndio tofauti ya kwenda shule na kuelimika.
 
Ngwanakilala,
Habari nzito hii inastahili zaidi ya mstari mmoja wa habari. Rip Mzee Apson.

Ongeza taarifa kwa kutumia zile W5 + 1 H. Yaani lini, wapi msiba umetokea, mapito marehemu ktk utumishi wa umma, Jambo kubwa alilofanya kwa taifa n.k (Who, Where, When, What, Why and How)
Mav matupu, ndo nini hicho umeandika we kiazi mbatata na selule uliyekubuhu?
 
Majirani wa nyumbani Obay hawa, watoto waliosoma Obay eighties na nineties wamefundishwa na kina Mrs. Mwang'onda na Mrs. Mihayo.

Enzi hizo Mzee Apson akiishi pale kona ya Hill Rd. na Msasani Rd. karibu na uwanja wa kuoshea mbwa pale ilipokuwa Norconsult.

Maisha yamepita kama upepo, zimebaki habari zake sasa.
Naona sahv anaishi pia nyuma ya laibon Street zamani us embassy..... Mtoto wake Sam yule anayemiliki agies record ni mwanangu kitambo Sana since udogoni

Ova
 
Ndugu hebu punguza basi ' Kujipendekeza ' kunakopitiliza Kwangu kwani ' Unaboa ' huku ukionekana ni ' Juha ' fulani hivi.
mimi nijipendekeze kwa mdada ambae hana ata chura wa nini sasa?
 
Kuna nyakati alikuwa akipita kwa Miguu hapo eneo la Mataa ' Salenda ' Darajani huku akiwa amevalia ' Kisela ' na ' Kofia ' ya Kikulima sana huku ' Fegi ' ikiwa mdomoni, kisha baada ya muda mfupi tu baadae utaona Msafara wa Rais Mstaafu Mzee Mkapa unapita. Kama kuna Watu ambao Ujasusi uliwaiva na wenyewe pia waliitendea vyema hiyo Fani basi Mmoja wapo ni huyu Baba Jimmy ( Marehemu Mzee Apson Mwang'onda ) Ni DG ambaye alikuwa ' hajishindilii ' tu Ofisini kusubiri Taarifa kutoka kwa FO's kama ' TipwaTipwa ' moja fulani hivi ' lililofurumushwa ' majuzi kati ambaye hata Kukimbia Kwake ilikuwa ni shida huku Kula Kula ' Mijinyama ' ndiyo kilikuwa Kipaumbele chake.
Duh naona ww unamsema Sasa baba Timo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Kuna Watu leo hii ndiyo wanajifanya Waanzilishi wa Coco Beach na Slip Way wakati Waanzilishi wenyewe wa Kuogelea katika hizo Fukwe zote mbili ( hata kabla bado hazijpewa hayo Majina ) baadhi yetu tupo na tunawatizama tu ' Wakuja ' wakitamba na Kujifanya wanaijua mno Oysterbay na Masaki nzima kuliko wale Wenyeji Waandamizi.
Watu wanaijua obay tokea Enzi za John bichwa mzungu

Ova
 
Back
Top Bottom