Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jimmy nani chansa au?
Jamaa wewe tunaweza tukawa tunafahamiana kabisa. Kwa uchambuzi huu
Jirani yangu Mbezi Beach apumzike kwa Amani. 🙏🏿🙏🏿🙏🏿.
Hahahaha nakumbuka sana mitaa hiyo ,norconsult kwa Mzee Kifukwe
Obay ya enzi hizo kitambo sana
Mzee Apson namkumbuka kipindi cha sakata la minofu ya samaki ,na zile vurugu za maziwa makuu ,jamaa yuko vzr
Hahahaha, nilkua nashinda sana mtaa wa bongoyo na mikiadi nadhani, kwenye kiduka karibu na Mzee Kimario
let him go to hell
Pale Bongoyo, cross streets ni Mkwawa na Winding Ave. Viwanja vya wazee vile.
Kwa Mzee Lubuva mbele kidogo.
Mzee Kimario mpaka amefariki alikuwa anaandika kitabu cha "War Stories" nilikuwa namsihi Mfaume kitabu kichapishwe watu wapate habari.
Umenikumbusha mbali sana kwenye kiduka kile.
Kuna siku nimekaa na kichaa wangu Alpha Opanga pale, ananiambia ana bonge la project la kuweka vyoo vya kulipia Dar. Nikasema Alpha acha stories zako, hakuna kitu kama hicho. Baadaye kidogo, nakuja kukuta Dar kuna vyoo vile vile alivyovisema Alpha!
The sad thing was Alpha had nothing to do with that.
Dah.....ficha upumbavu banaa[emoji2960]alafu eti mijitu inakuja hapa inasema RIP, pumbav, muacheni Mungu aweke mavuno yake panapostahili, na kama damu ya ulimboka ipo kwake basi italia mpaka kizazi chake cha nne
Naam kaaa sana kidukani pale ,jioni unaingia kwenye court ya Mzee kimario kudunda kikapu
Ile mitaa siku hz watu hkn kabisa wote wamehama
Rambirambi kwa mwalimu Mrs. Apson Mwang'onda, Thomas Mwang'onda na familia.
Mav matupu, ndo nini hicho umeandika we kiazi mbatata na selule uliyekubuhu?Ngwanakilala,
Habari nzito hii inastahili zaidi ya mstari mmoja wa habari. Rip Mzee Apson.
Ongeza taarifa kwa kutumia zile W5 + 1 H. Yaani lini, wapi msiba umetokea, mapito marehemu ktk utumishi wa umma, Jambo kubwa alilofanya kwa taifa n.k (Who, Where, When, What, Why and How)
Naona sahv anaishi pia nyuma ya laibon Street zamani us embassy..... Mtoto wake Sam yule anayemiliki agies record ni mwanangu kitambo Sana since udogoniMajirani wa nyumbani Obay hawa, watoto waliosoma Obay eighties na nineties wamefundishwa na kina Mrs. Mwang'onda na Mrs. Mihayo.
Enzi hizo Mzee Apson akiishi pale kona ya Hill Rd. na Msasani Rd. karibu na uwanja wa kuoshea mbwa pale ilipokuwa Norconsult.
Maisha yamepita kama upepo, zimebaki habari zake sasa.
mimi nijipendekeze kwa mdada ambae hana ata chura wa nini sasa?Ndugu hebu punguza basi ' Kujipendekeza ' kunakopitiliza Kwangu kwani ' Unaboa ' huku ukionekana ni ' Juha ' fulani hivi.
Ni mkurugenzi mstaafu wa TISS
Duh naona ww unamsema Sasa baba Timo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna nyakati alikuwa akipita kwa Miguu hapo eneo la Mataa ' Salenda ' Darajani huku akiwa amevalia ' Kisela ' na ' Kofia ' ya Kikulima sana huku ' Fegi ' ikiwa mdomoni, kisha baada ya muda mfupi tu baadae utaona Msafara wa Rais Mstaafu Mzee Mkapa unapita. Kama kuna Watu ambao Ujasusi uliwaiva na wenyewe pia waliitendea vyema hiyo Fani basi Mmoja wapo ni huyu Baba Jimmy ( Marehemu Mzee Apson Mwang'onda ) Ni DG ambaye alikuwa ' hajishindilii ' tu Ofisini kusubiri Taarifa kutoka kwa FO's kama ' TipwaTipwa ' moja fulani hivi ' lililofurumushwa ' majuzi kati ambaye hata Kukimbia Kwake ilikuwa ni shida huku Kula Kula ' Mijinyama ' ndiyo kilikuwa Kipaumbele chake.
Watu wanaijua obay tokea Enzi za John bichwa mzunguKuna Watu leo hii ndiyo wanajifanya Waanzilishi wa Coco Beach na Slip Way wakati Waanzilishi wenyewe wa Kuogelea katika hizo Fukwe zote mbili ( hata kabla bado hazijpewa hayo Majina ) baadhi yetu tupo na tunawatizama tu ' Wakuja ' wakitamba na Kujifanya wanaijua mno Oysterbay na Masaki nzima kuliko wale Wenyeji Waandamizi.