TANZIA Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda afariki Dunia nchini Afrika Kusini

Pamoja na haya Maelezo yako yote japo mengine naona ni kama vile ' Irrelevant ' naomba kujua je, huwa unaenda Kusalimia Familia ya Marehemu Mzee Mzena mara kwa mara kama sehemu ya Kuundeleza Urafiki wako nae? Na je, umeshakuja tayari Mbezi Beach ulipo Msiba wa ' Jasusi ' Colonel Apson Mwang'onda au bado upo tu huko Morogoro ukiendelea labda Kuitafuta Nauli ya Abood Bus Service pengine Kesho ikulete Tanzania samahani Dar es Salaam?
Mleta uzi lengo lake ni kutuambia historia ya Leaders Club!
 
Hivi Sam ( Yule Jamaa Mrefu ) sana aliyekuwa ' Komandoo ' ila walimtoa huko baada ya ' Kuvunjika ' vibaya Miguu yake wakati akiruka kutoka katika Ndege Angani na akatua vibaya wakiwa Mazoezini, ila alitibiwa na sasa amepona japo akitembea ' anachechemea ' na ni ' Brazameni ' sana ni Mtoto wa Marehemu Mzee Apson au amemuolea Binti yake? Nitashukuru ukinipa ufafanuzi wa Kutosha juu ya hili Ndugu. Huyo Sam japo kwa sasa ana ' Ukilema ' kutokana na hiyo Ajali ya Kijeshi ( Kikomandoo ) aliyoipata, ila Jamaa anapiga ' Combat Kung Fu ' utadhani alizaliwa baada ya Hayati Jun Fan ( wengi wenu mnamjua kwa Jina lake maarufu la Bruce Lee ) Kuna Siku moja alitoa ' Demo ' fupi tu mitaa ya Mikocheni na ndani ya muda mchache hiyo sehemu ilitulia huku DJ akiacha Muziki wake na Wahudumu nao wakiacha Kutuhudumia halafu akina An Eagle tukitafuta ' Vichochoro ' vya kutokea barabara Kuu ili tudadindie ' DalaDala ' tuje Kupumzisha Akili na Presha. Ni Jamaa Mmoja mpole sana halafu Mstaarabu mno ila ' ukijichanganya ' tu Kwake ndipo utajua ni kwanini Wimbo wa Taifa huwa hauna ' Video ' yake tokea nchi hii ipate Uhuru wake hadi hivi leo.
Beny

Ova
 
Pamoja na haya Maelezo yako yote japo mengine naona ni kama vile ' Irrelevant ' naomba kujua je, huwa unaenda Kusalimia Familia ya Marehemu Mzee Mzena mara kwa mara kama sehemu ya Kuundeleza Urafiki wako nae? Na je, umeshakuja tayari Mbezi Beach ulipo Msiba wa ' Jasusi ' Colonel Apson Mwang'onda au bado upo tu huko Morogoro ukiendelea labda Kuitafuta Nauli ya Abood Bus Service pengine Kesho ikulete Tanzania samahani Dar es Salaam?
Jana nlipita mitaa hiyo....mbezi kuzuga
Ebwana mzee mzena wa adaestate nmemkumbuka mpk kesho naona familia yke iko pale wakina Nani???

Ova
 
Pamoja na haya Maelezo yako yote japo mengine naona ni kama vile ' Irrelevant ' naomba kujua je, huwa unaenda Kusalimia Familia ya Marehemu Mzee Mzena mara kwa mara kama sehemu ya Kuundeleza Urafiki wako nae? Na je, umeshakuja tayari Mbezi Beach ulipo Msiba wa ' Jasusi ' Colonel Apson Mwang'onda au bado upo tu huko Morogoro ukiendelea labda Kuitafuta Nauli ya Abood Bus Service pengine Kesho ikulete Tanzania samahani Dar es Salaam?
jifunze ku balance shobo utaolewa Dar pagumu
 
Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.

Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990

Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini

Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu

Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru

Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri

Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni

Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda

Alex Fredrick
Morogoro

View attachment 1227067View attachment 1227068
Hapa kuna mkusanyiko wa maneno tu, hakuna ujumbe wowote
 
Sasa kwanini msiuze tu Nyumba yenu na hivyo Viwanja vingine hapo Jirani ili mkajenge Kwingineko kuliko Kung'ang'ania hapo na Kipindi cha Mvua kama hiki cha sasa mnakosa raha na Usingizi wenu unakuwa ni wa ' Kimang'amung'amu ' sana Ndugu? Na Watu wa TMA wamesema hii Mvua bado tunayo na huenda ikaleta madhara zaidi kupelekea Nyumba zenu zote hapo Kusombwa na Maji na mkazikuta zikiwa zinaelea tu hapo Jirani ndani ya Maji ya Bahari ya Hindi.
Tukiuza nyumba zetu hao watakaonunua watakumbana na shida hiyo hiyo tunayokabiliana nayo. Haya maeneo wazee waliyanunua tangu miaka ya 70 mwishoni, mvua huja na kuondoka, maishani ukiwa mwoga unajipunguzia wigo wa kutafuta maendeleo ya kwako binafsi na ya jamii nzima.
 
Ngoja nika review kama wakati wa kusaini mikataba ya ACACIA na ujangili uliokuwa ukifanyika pale BOT kama alikuwa kwenye system halafu wote ulio wataja kwa sifa zote hizo basi Tanzania ingekuwa kama S.Africa,

Hata rais sijui kama atahudhuria kwenye mazishi maana anajua namna walivyo iharibu hii nchi
 
Jana Tarehe 7 mwezi wa kumi 2019 Taifa la Tanzania limepata pigo kubwa baada ya kuondokewa na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Mstaafu Mzee wetu Apson Mwang'onda.

Mzee Mwang'onda,Mzee Agustino Mahiga,Othman Rashind na Marehemu Joe Walingozi nilipata kuwafahamu kupitia Mzee wetu Marehemu Charles Emilio Mzena miaka ya 1990

Apson Mwang'onda mtu mahiri na aliyekuwa anaipenda kazi yake na zaidi kuifanya kwa umahiri na weledi mkubwa Nchini

Hawa wote ni vijana waliolelewa na Mzee Charles Emilio Mzena ambaye ndiye aliyeipaisha Tanzania kwenye medani za Interejensia Nchini mpaka nje ya mipaka yetu

Kuna kisa nilipata kusimuliwa na Mzee Apson Mwang'onda kwamba siku za mwanzoni kabisa wakati Tanzania ndo imepata Uhuru

Kuna Mawaziri na watendaji wengi walikuwa na tabia ya kulewa mitaani na kuzungumza hovyo Kitu ambacho kilikuwa kinamkera sana Mzee Charles Emilio Mzena. Ikabidi siku mmoja amwambie Rais Mwl JK Nyerere kuhusu vituko hivyo vya Mawaziri na Mzee Mzena akamwambia Mwl JK Nyerere kwamba siku asishangee kusikia kawaweka ndani hao Mawaziri

Ndo ikabidi Mwal JK Nyerere atafute sehemu maalumu ya viongozi kupata maraha yao,"LEADERS CLUB ' ambayo leo wengi mnaifamu vizuri iliyopo pale kinondoni

Pumzika kwa amani Mzee wetu Apson Mwang'onda

Alex Fredrick
Morogoro

View attachment 1227067View attachment 1227068
Labda kwa waso.ju.kana
 
Umesema kifo chake ni pigo kwa nchi na Afrika. Umeitaja Afrika kivipi?
 
Aisee..
R.i.p mzee wetu ..nikikumbuka ulivyotoaga amri ya ile ishu ya nanii daaa..any way acha niishie hapo mungu akuweke pahali pema boss
 
Mbona mpaka leo kila baa watu tungi likishawabamba wote wanai kuwa ni watu wa System.

Marehemu alifanikiwa kweli?
Walevi wengine ni walevi fake, na baa ni moja ya maeneo yao ya kutega.
 
hasara kuzaa hili dude

Koo zako zote mbili zingepata kuwa na Mtu ' BRAINIAC ' kama Mimi An Eagle nadhani ungejisifu na mngekuwa na Maendeleo ila kwa bahati mbaya sana imekuwa ni Kinyume chake.
 
Back
Top Bottom