Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

Hivi kuna Bar yoyote jijini Dar inayokubali malipo kupitia kadi ya NHIF?
 
Wanaondoa toto card halafu wanaleta bla bla

Walishindwa kwenda huko mashuleni kutoa elimu, na watoto wakajiunga kabla ya kufuta toto card?

Sio wabunifu kabisa

Waziri unakula matango pori
Mbona watoto wengine wanaendelea kujiunga kwa kufuata utaratibu uliopo? Zingatia taratibu Inazowekwa
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Acha majungu lete hoja
 
Acha majungu lete hoja

Hoja gani tena kwanini muondoe bima za watoto au nhif kazi yake ni nin zaidi ya kuwahudumia waTZ acheni propaganda NHIF kwasasa inatumika kisiasa hamna weledi wowote
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Tumezidi majungu
 
Kwani miaka mingine tuliishije?
Vizuri tu

Na amekua pale zaidi ya miaka sita

Kwahiyo kiburi kaanza lini?

Kuna agenda nzuri tu ya distabilization na Iko very poorly crafted… mwezi sasa ni wizara ya afya , wakimaliza wanahama

And target ni Maza apoteze focus ifike July ni vurugu tupu

Anyways… tuendeee kupiga mawe
 
Ijapo simjui lakini huenda atakuwa daktari.
Madaktari wengi wana roho.mbaya sana.Wengi wametokea familia maskini na hivyo wanapata nguvu kubwa ya kuwakandamiza maskini kwa kuwa wanadhani hawa watu hawawajibikii kuondoa umaskini wao.
Madaktari wengi ni wabinafsi sana,sana roho mbaya na hawapendi watu wafanikiwe hata kama ni kihalali.Kifupi wako tayari wakose wote iwapo tu kati ya wanaofaidika kuna watu hawawapendi
 
Sidhani km huu ni Dakari
 
Vizuri tu

Na amekua pale zaidi ya miaka sita

Kwahiyo kiburi kaanza lini?

Kuna agenda nzuri tu ya distabilization na Iko very poorly crafted… mwezi sasa ni wizara ya afya , wakimaliza wanahama

And target ni Maza apoteze focus ifike July ni vurugu tupu

Anyways… tuendeee kupiga mawe
Acha uzushi. Sina hata masilahi binafsi na NHIF au DG wao Kikubwa ni wau hawa kufana kazi basi
 
Huyu jamaa ni mkiburi kishenzi - yaani anaonesha ukatili wa wazi wazi kwa sababu kazi ake imekuwa ni kuiteka Bodi yake na kujikomba kwa Mawaziri mpaka Makatibu wakuu.

Huyu analazimisha ili watoto wa shule fulani waweze kupata bima ya matibabu eti mpaka idadi yao ifike 50 na kuendelea.

Huyu hajui kwamba kuna shule zina watoto 20 tu. Amezuia hata wale watoto ambao tayari walikuwa na bima wasirenew bima zao ati kwa kuwa shule aliyoenda mtoto husika hawajasajili zaidi ya watoto 50.

Huyu mtu amelewa madaraka na ni mkiburi sana. Ukiwa naye hata katika vikao wanapokuwepo viongozi basi hata namna ya ukaaji wake hamna hata unyenyekevu - yaani anajiweka kama Mungu Mtu, Ningemshauri kwa umri wake ule awe humble, ajiweke katika nafasi ya jamii ya hali ya chini. Sivyo huyu mtu hana utu - na hafai kabisa kuongoza taasisi kama ile inayopaswa kutanguliza huruma mbele.

NHIF ni watoa huduma, si michango tu ya wanachama bali hata kodi za WaTanzania inatumika kufikisha huduma hizo kwetu.

Huyu mtu asipojirekebisha anaumiza wengi na ndiyo chanzo cha kufanya Ummy alalamikiwe.
Tulishasema hapa kwa nature ya majukumu, kazi na lengo la NHIF, umri wake huyu DG hautoshi kuwa ktk nafasi hii..
 
Anatoa bima ya watoto Ili wafe huyu ni tuandamane tukamtimue kwenye ofisi ya umma.
 
Back
Top Bottom