It’s general knowledge Ummy ni kilaza.
Lakini kwenye hili la NHIF kumtupia lawama waziri yeyote ni kumuonea unless ni technocrat wa finance (bottom line kwenye kuisimamia NHIF) unaitaji abc za finance na asilimia kubwa ya mawaziri duniani kote kwenye mambo hayo wanategemea ushauri wa technocrats wa maswala ya finnvcd kutoka wizarani au serikalini.
Zaidi ya hapo kuna bunge la kumsaidia waziri kwenye kuamua kupitia michango yao anapata knowledge.
Bunge ambalo:
Lina pokea report ya CAG na maelezo yake. Report ya mwisho inaeleza kuna fraud za wachangiaji, fraud za service providers na fraud za ndani ya taasisi. Hii ni risk kubwa ya budget planning inayopelekea kuwa na shortfall ya payments. Usipodhibiti itapelekea pricing and insurance coverage changes kwa wachangiaji to sustain the business (ndio kinachotokea) yote hayo ni kwa sababu ya kuchukulia ufisadi poa.
Its pointless kupanga business strategy yeyote bila kuziba mianya ya upotevu wa hela especially kama hasara yenyewe ya upotevu ni over tsh 100 billion.
Kuna bunge zima linalopokea CAG report na bunge hilo-hilo linaidhinisha mipango ya NHIF, without scrutiny.
Kuna kamati ya bunge specific ambayo inatakiwa ku scrutinise uendeshwaji wa NHIF na weledi wake.
Kuna wizara ya afya na wataalamu wake wa kumshauri waziri
Kuna wataalamu wa serikali. Baraza la makatibu wakuu wa wizara zote uwa wanakutana, kujadili na kushauriana sera za serikali, kuna kikao cha baraza la mawaziri. Hadi hayo mabadiliko yapitishwe na bunge na kuwa sheria kuna watu wengi wa kulaumiwa.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni, yes waziri ni incompetent but there is enough blame to be shared and the bulk of that blame lies with the weak parliament, weak parliament committee, TAKUKURU (kwenye kufanyia kazi report ya CAG), NHIF board (kufanyia kazi report ya CAG) na uzembe wa civil service kwa ujumla wao
Kwenye hili Ummy ni victim of circumstances (ni mtu wa mwisho kwenye hierarchy ya lawama) if anything hii ni exposure tumejaza viazi huko mawizara, waziri ashauriwi vizuri, and yes it doesn’t help her having limited knowledge to how things ought to work she is gullible to the ill advice received from NHIF without ministry financiers to counter argue or challenge the proposal.
Tatizo la NHIF sio la Ummy ni la uozo wa serikali nzima na bunge.