Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mwendokasi analipwa zaidi ya milioni kumi kwa mwezi; hajawahi hata kutembelea abiria aone kero zao

Mkurugenzi Mkuu wa Mradi wa Mwendokasi analipwa zaidi ya milioni kumi kwa mwezi; hajawahi hata kutembelea abiria aone kero zao

Nadhani haupo SAHIHI kiongozi,kwa huyu CEO mpya,Ndugu Kihamia ameshaanza kutembelea vituo mbalimbali vya huu MRADI wa Mwendokasi,..wiki iliyopita vyombo vingi vya habari vilionyesha picha zake akiwa na abiria,akipokea maoni toka kwao..tumpe nafasi

Sema namuonea huruma MGOSI kwa kubebeshwa huu MSALABA,sijui ataweza masikini?

Ukifuatilia michango ya waliokuwa Wabunge wa Upinzani wa Dar Es Salaam, wakiongozwa na Mh Mdee na Kubenea hata Mh Ex Mayor Mwita,miaka ya 2015-2020 ni kana kwamba MRADI huu ULIANZISHWA na KUTEKELEZWA KWA UBATILI MTUPU..Kuna ulaghai mwingi kuanzia Mikataba wenyewe,ununuzi wa Magari(Mdee alisema magari mengi ni Kuu kuu,tena akiwa ndani ya Bunge + over priced)

Kingine menejimenti iliyopewa kuendendesha Mradi huu,chini ya Bwana Kisena ,ilijaa UTAPELI ,UONGO,WIZI ndio maana Kisena et al wamehukumiwa nadhani miaka 10 Gerezani

Wito wangu,
i.Mh Mdee et al tokeni na endeleeni KUPAZA sauti hadi Majizi yote yapate stahilii zao,Kisena na hao wachache hawatoshi

ii.Serikali ipitie kikamilifu MIKATABA wote wa UENDESHAJI wa huu MRADI ili kujua UOZO wote na kufanya MABORESHO+ kuwafikisha mahakamani WEZI wote

III.Serikali kununua mabasi mengi aliyo kwenye hali nzuri kwa kuangalia taratibu na kanuni zote za manunuzi.

IV;Watafutwe WEENDESHAjI NGULI ndani or nje ya Tz kwa ajili ya kusimamia Mradi huu

OR

V.Tuwape sekta BINAFSI kwa ajili ya kuuendesha kwa 100% ,serikali ibaki kuboresha MIUNDO MBINU + kukusanya KODI
 
Madhara ya kuteuliwa kwa fadhila badala ya kupata kazi kwa vigezo. Kwani kuna anayejua ni sifa gani zimepelekea akateuliwa kwenye hiyo nafasi??
Huyu Mkurugenzi ni nani? Usikute ni yule aliyetoka LATRA!
kama ni huyu basi hakuna cha kwenda mbele zaidi ya majungu yake, fitna na kutishia walio chini yake!
 
Aseee .... Na umeona umeandika point!???...... Unajua kwanza maana ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi!?? ....labda tungeanzia hapo naweza kuwa naongea na mtu amekuja mjini na malori ya nanasi na matikitiki.... Ameshazoea kupanda mokokoteni ya punda....
Jibu swali. Kugombea basi unataka Mkurugenzi ajr kuwapangisha foleni ya kupanda basi?
 
Mkurugenzi katoka tume ya uchaguzi....!! Labda tujue kwani lazima wakurugenzi wa taasisi watoke TISS hata kama hawana hizo taaluma ? Kwani lazima mwendokasi iwe ya serikali 100% ?
 
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi.

Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna siku amewahi kuonekana katika eneo la Mradi ambalo ni pungufu ya urefu wa kilomita 40. Yupo ofisini anasoma mafaili na kuidhinisha matumizi ya fedha.

Kwa ubosi alionao hata waziri anasubiri. Sambamba na kulipwa fedha zote hizo hataki anaamini Mradi wa Mwendokasi kubinafsishwa kwa mzawa hawataweza kuuendesha labda aletwe mchina au mzungu. Unajiuliza anafanya nini ofisini? Temekosa watu wakuwapa hii kazi?

Leo watanzania wanafanya biashara ya usafiri wa mabasi na hakuna kelele, watashindwa kusimamia Mwendokasi ambayo abiria wanasubiri masaa 2 hadi matatu kwa trip?

Mwendokasi ni jambo la kumuumiza kiongozi wa nchi kichwa? Mwoneni mama huruma ; acheni kumhujumu Mhe. Rais . Tokeni ofisini mkafanyr kazi aliyowatuma.
Kwa imani yangu.
Huu mradi wakipewa wapiga debe wa stendi..madereva na makondakta watafanya vizuri sana sana.
 
Tatizo magari hakuna ndo maana Mbagala gari haziendi
 
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi.

Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna siku amewahi kuonekana katika eneo la Mradi ambalo ni pungufu ya urefu wa kilomita 40. Yupo ofisini anasoma mafaili na kuidhinisha matumizi ya fedha.

Kwa ubosi alionao hata waziri anasubiri. Sambamba na kulipwa fedha zote hizo hataki anaamini Mradi wa Mwendokasi kubinafsishwa kwa mzawa hawataweza kuuendesha labda aletwe mchina au mzungu. Unajiuliza anafanya nini ofisini? Temekosa watu wakuwapa hii kazi?

Leo watanzania wanafanya biashara ya usafiri wa mabasi na hakuna kelele, watashindwa kusimamia Mwendokasi ambayo abiria wanasubiri masaa 2 hadi matatu kwa trip?

Mwendokasi ni jambo la kumuumiza kiongozi wa nchi kichwa? Mwoneni mama huruma ; acheni kumhujumu Mhe. Rais . Tokeni ofisini mkafanyr kazi aliyowatuma.
Yule Asumani Kihamia kateuliwa juzi tu, ndo mkurugenzi wa mwendokas?
 
Huyo mkurugenzi ni mafiii kabisa hata mabasi ya mwendikasi hayafanyiwi usafi hata siku moja kapokea maagizo kutoka kwa raia feki kuwa afanye hayo anayo yafanya nilisema hapa Rostam azizi na familia yake wasipo uliwa nchi itakwama watu mnanipuuza
 
Kugombea basi na hapo mnamlaumu Mkurugenzi?
Kushangaa kwako ndiyo kunamfanya Mkurugenzi asitambue jukumu lake la msingi. Ufanisi wa uongozi wa Kiongozi Mkuu ni kuondoa adha huyo ambaye mazingira ya utendaji wa.Dart yanamlazimu agombee kuingia kwenye gari ili asisubiri dakika 47 nyingine.
 
Naambiwa mkurugezi wa mwendo kasi akijumuisha salary, posho, safari na usafiri kwa mwezi mmoja anatumia zaidi ya milioni kumi za wananchi.

Lakini pamoja na kulipwa fedha zote hizo bado hakuna siku amewahi kuonekana katika eneo la Mradi ambalo ni pungufu ya urefu wa kilomita 40. Yupo ofisini anasoma mafaili na kuidhinisha matumizi ya fedha.

Kwa ubosi alionao hata waziri anasubiri. Sambamba na kulipwa fedha zote hizo hataki anaamini Mradi wa Mwendokasi kubinafsishwa kwa mzawa hawataweza kuuendesha labda aletwe mchina au mzungu. Unajiuliza anafanya nini ofisini? Temekosa watu wakuwapa hii kazi?

Leo watanzania wanafanya biashara ya usafiri wa mabasi na hakuna kelele, watashindwa kusimamia Mwendokasi ambayo abiria wanasubiri masaa 2 hadi matatu kwa trip?

Mwendokasi ni jambo la kumuumiza kiongozi wa nchi kichwa? Mwoneni mama huruma ; acheni kumhujumu Mhe. Rais . Tokeni ofisini mkafanyr kazi aliyowatuma.
Tukupe wewe mradi
 
Huyu Mkurugenzi ni nani? Usikute ni yule aliyetoka LATRA!
kama ni huyu basi hakuna cha kwenda mbele zaidi ya majungu yake, fitna na kutishia walio chini yake!
Huyu ni Athumani Kihamia, CV yake ni kuwa katibu tawara mkoa, mkurugenzi wa uchaguzi a.k.a fundi wa kuiba uchaguzi N.K
 
Huo mradi wa mwendokasi ni pasua kichwa. Kuuzungumzia unahitaji ujasiri kiasi. Waziri Mchengerwa ameutembelea hivi karibuni tena akapanda kabisa hayo mabasi na hata mkuu wa mkoa Chalamila pia kautembelea hivi karibuni lakini hakuna mabadiliko yoyote. Mwendokasi wenyewe walishakuja hapo JF kuomba ushauri na GT wa JF wakawapa nondo za kutosha lakini hakuna hata moja lililotekelezwa. Kwa kifupi ni sikio la kufa magari yanazidi kupungua barabarani hakuna magari mapya yaliyoinginzwa na yaliyoharibika yamejazana Ubungo na Gerezani.

Kuna wakati najiuliza hivi mkuu wa mkoa, wakuu wa wilaya, wabunge, madiwani, mameya wote wapo hapo hapo Dar lakini wapo kimya hakuna ayeshtuka jinsi abiria wanavyogombania mabasi. Subiri sasa litokee la kutokea halafu raisi, makamu au waziri mkuu aende kuibua madudu ndio utashangaa kila mtu anajifanya kuwajibika. Na hali ikizidi kuendelea kama ilivyo sasa muda si mrefu kuna janga litakwenda kutokea wakati abiria wanapogombea kupanda magari machache yaliyopo. Kwani sasa hivi abiria anaweza kukaa kituoni zaidi ya hata ya saa moja hajapata usafiri hasa wale ambao hawana uwezo/nguvu za kugombania kupanda.

Kwa kifupi huo mradi aliunzisha Kikwete halafu Magufuli (RIP) akauendeleza wapewe maua yao. Walioachiwa sasa wanaenda kuumaliza. Wanachofanya sasa tofauti kabisa badala waongeze magari na kusimamiwa abiria wapande magari kwa utaratibu wao wanapiga rangi stendi/mabanda ya abiria kusubiria mabasi hata sijui ni akili ya wapi hiyo. Nahisi hapo kwenye kupiga rangi labda kuna kitu wananufaika.

Ukitafakari sana utaona wazi kuwa tuna tatizo kubwa la ubunifu na kutoa maamuzi. Hivi baadhi ya njia kwanini wasiwape wafanyabiashara hata kwa majaribio? Hivi ukimpa Azam/Mo/GSM labda njia moja tu ya Mbezi to Feri halafu ukampa labda Shabiby/Aboud/BM njia ya Morocco to Gerezani wao mwendkasi wakabaki na njia zilizobaki na mabasi ya mabovu shida ipo wapi? Si watapata tu pesa ya kutosha kupitia tozo kutoka kwenye hao wawekezaji wa ndani. Huu mradi hatakiwi kabisa mwekezaji toka nje kwani ni mradi ambao wawekezaji wa ndani wanaweza kuwekeza bila wasiwasi na kufanya vizuri tu. Ni sualal a kuweka tu mabasi mazuri yenye viyoyozi na utaratibu mzuri wa abiria kupanda kwa mistari vituoni na kusimamia idadi ya abiria wanaotakiwa ndani ya basi moja badala ya sasa kuweka walinzi kibao wanasinzia na kuchati na simu zao muda wote wawpo vituoni.

Mbaya zaidi serikali inaedelea kujenga njia ya Mbagala na Gongolamboto huku hii njia Mbezi inawatoa jasho. Anyway huwezi jua labda mbele ya safari huko watakuja viongozi wenye uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa wakati.. Na iwapo serikali imeshindwa si vibaya ikakiri hivyo hadharani halafu ikaruhusu dala dala za kawaida zifanya kazi kama zamani kuliko haya mateso wanayopata abiria kwa sasa.

Hivi na hili wasaidizi wa raisi wanasubiri mama Samia aje awaelekeze cha kufanya hapana aisee hebu muhurumieni huyo mama.
Mchengerwa na Chalamila walisomea wapi usafirishaji wa abiria katika majiji? Hizi kazi zinasomewa na zinahitaji hesabu, utafiti wa njia, na utaratibu wa uendeshaji unaotoa viwango vya utendaji; kwa mfano, kwa mabasi 20, pale Fire, gari liendalo Kivukoni linatakiwa lipite kila baada ya dakika ngapi na ratiba hiyo ifuatwe! Hili linawezekana kwa sababu mabasi haya yana barabara zake! Kazi hizo zinatakiwa zitangazwe, si kazi ya uteuzi wa sura! Waziri akitaka, atembelee nchi nyingine ajifunze utawala/uendeshaji wa usafiri katika majiji ili ajue uongozi wake unahitaji nini. Mwalimu Chalamila anajua kukemea watoto darasani. Sosholojia na saikolojia ya kuendesha watu wazima ni jambo la kujifunza.
 
Hapo ni kuyasusia kupanda pengine watawaelewa
 
Siku hizi mwendokasi ukipita lazima ukute gari sio chini ya 3 zimeharibika njiani yani ni USUMBUFUU PLUS KWA WANANCHI.. unakata ticket unalipa nauli gari zinaharibikia njiani kiufupi hawana magariii hayo yanayotembea ni roho ngumu tu na wanamalizia kuyaua jumla.
 
Mkurugenzi gani tena huyo hajafika site jamani?
Ata tajiri kisena na mke wake enzi hizo daily walifika jangwani pale kwa wizi tu. Huyo ambaye hafiki ofisini mkurugenzi gani?
Hata asumani mbona yeye daily yupo kwenye road. Ni yupi mnamuongelea.
Nyie semeniwendokasi kichwa cha mwendawazimu sio maboss
 
Back
Top Bottom