Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dr Ayoub Ryoba aendeleza matusi kwa wakosoaji wake. Aivaa JamiiForums...

Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dr Ayoub Ryoba aendeleza matusi kwa wakosoaji wake. Aivaa JamiiForums...

Weka kideo hayo maneno uliyosema umenukuu,
kuyatunga ni rahisi juu yake.
 
Kwa nini ang'ang'anie kuwa mkurugenzi ilhali haipendi wala kuridhishwa na malipo ya kazi husika? Kwa nini asubiri kutumbuliwa wakati anaweza kuomba kukaa pembeni na wenye moyo wa kujitolea wakachukua nafasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom