Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,526
Tunapoelekea anajua Mungu pekee siku hizi degree ni bora kuliko utu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuelewa ni kwa nini Ryoba bado ni DG wa TBC mpaka leo hii?!. Kuna udhaifu mkubwa katika performance appraisal ya watumishi wa umma kama huyu au analindwa kama bashite?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usilolijua litakusumbua.
mleta mada ana bifu, chuki binafsi na Ryoba, eti kwa sababu tu anatoka mkoa wa Mara jirani na Nyerere. kwani kumwambia mtu ukweli ni matusi? kama amesoma kweli inamuuma nini? si akanushe tu ili maisha yaendelee! kujipambanua kuwa siyo mnafiki kuna ubaya gani?
ngoja nimsaidie aseme hivi;
''Si kweli kuwa sijasoma mimi ni graduate Mlimani city ya chini au juu, nina degree ya ENGINEERING,'' Baasi! yameisha!
Jingine kama ana Range lover jamani asiseme? au aifungie ndani? acheni majungu na fitina!
mleta mada ana chuki na huyu jamaa, hata ukiangalia writing language yake. alitaka ateuliwe yeye kuwa mkurugenzi wa hii RTD ya zamani..
Mi sijaelewa, Apo million 60 imeingiaje? hilo range nalo limeingiaje? kuna aliemuuliza kuhusu maisha yake?
apo kaleta mambo ya Kiduku Lilo
Usi pick mabaya yake tu, una tafuta negativisms sana wewe, mfano km mimi niseme hapo juu umetaja hili gari kwa herufi ndogo, au umechanganya kubwa na ndogo halafu nijenge hoja kuwa hukusoma wkt ninge ignore tu.Hivyo alivyosema kama vile kuwa na range rover, alikuwa NA deal LA milioni 60 NA aliliacha, anaumwa, n.k, vina uhusiano gani na uboreshaji wa vipindi pamoja TBC yote KWA ujumla? Vitu hivyo vinasaidiaje ktk kuiboresha TBC?
Kama kweli ni mgonjwa NA hawezi tena kufanya kazi zake vizuri KWA sababu ya ugonjwa, so ndio unatakiwa kuomba kustaafu ili kuwapisha Watu wengine wenye afya bora wachukue nafasi yake???
Wananchi tunataka kuona TBC iliyo bora wala siyo porojo zake za siasa
Usi pick mabaya yake tu, una tafuta negativisms sana wewe, mfano km mimi niseme hapo juu umetaja hili gari kwa herufi ndogo, au umechanganya kubwa na ndogo halafu nijenge hoja kuwa hukusoma wkt ninge ignore tu.
hilo neno R/lover lilipita ktk hayo maongezi hayo, sema lilikuuma mwenzako kuwa na R/Lover new model. na wewe huna. huwezi ukalitamka neno moja tuu hotuba nzima. kusema aliacha hilo deal la milion 6 ni kuwakumbusha kuwa alijali nyumbani, shida iko wapi hapo?
Suala la kuumwa kila mtanzania kwa ujumla wenu hapo mlipo mnaumwa, Mawazo ya maisha duni, minyoo, adult malnutrition ina wasumbua, wewe ulifanya lini Med. chek up?
Watu wa Tanga barabara ya makolola, mna majungu sana.
Hili taifa lina viongozi mapopoyo wengi sanaDuuuu...!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu point zangu ziko wazi na kwa lugha nyepesi,Point yako ni nini?? Mbona sijakuelewa??
Wananchi tutathibitisha kuwa kama kweli alikuwa mzakendo NA alijali nyumbani, basi tuone TBC iliyo bora wala siyo vinginevyo, porojo za siasa hatutaki kuziona.
Tunataka kuona matunda ya kazi yake yakishamiri, kama tulivyoshuhudia sisi wenyewe enzi za Tido Mhando alipokuwa hapo TBC.
Hebu jaribu kulinganisha suala hili:
Tido Mhando ana Elimu ya Diploma tu lakini alifanikiwa pakubwa kuiboresha TBC vizuri zaidi kabisa NA kila mtu mpenda mzalendo aliipenda , lakini Dr Ryoba ana elimu ya PhD , na TBC imekuwa mbaya zaidi, sasa inachukiwa karibu na kila MTU.
Hii inamaanisha kwamba PhD ya Dr Ryoba si kitu chochote mbele ya Diploma ya Bwana Tido Mhando, KWA sababu Dr Ryoba ameshindwa kabisa kumudu kuiboresha TBC licha ya PhD yake ya Chuo Kikuu aliyonayo, wakati huo huo Bwana Tido Mhando ameibuka kuwa Shujaa wa kweli KWA kufanikiwa kuiboresha TBC ktk viwango bora kabisa licha ya Elimu yake ndogo ya Diploma aliyonayo.
Tido Mhando atabaki kuwa Shujaa Daima KWA kufanikiwa kuiboresha TBC
Unavyo mdharau Ryoba mwenye PhD na kumpaisha Tido mwenye Diploma, si shangai kwa sababu ni kawaida ya idealistic man, kudharauliwa na watu wa chini.Point yako ni nini?? Mbona sijakuelewa??
Wananchi tutathibitisha kuwa kama kweli alikuwa mzakendo NA alijali nyumbani, basi tuone TBC iliyo bora wala siyo vinginevyo, porojo za siasa hatutaki kuziona.
Tunataka kuona matunda ya kazi yake yakishamiri, kama tulivyoshuhudia sisi wenyewe enzi za Tido Mhando alipokuwa hapo TBC.
Hebu jaribu kulinganisha suala hili:
Tido Mhando ana Elimu ya Diploma tu lakini alifanikiwa pakubwa kuiboresha TBC vizuri zaidi kabisa NA kila mtu mzalendo aliipenda , lakini Dr Ryoba ana elimu ya PhD , na TBC imekuwa mbaya zaidi, sasa inachukiwa karibu na kila MTU.
Hii inamaanisha kwamba PhD ya Dr Ryoba si kitu chochote mbele ya Diploma ya Bwana Tido Mhando, KWA sababu Dr Ryoba ameshindwa kabisa kumudu kuiboresha TBC licha ya PhD yake ya Chuo Kikuu aliyonayo, wakati huo huo Bwana Tido Mhando ameibuka kuwa Shujaa wa kweli KWA kufanikiwa kuiboresha TBC ktk viwango bora kabisa licha ya Elimu yake ndogo ya Diploma aliyonayo.
Tido Mhando atabaki kuwa Shujaa Daima KWA kufanikiwa kuiboresha TBC
Mkuu point zangu ziko wazi na kwa lugha nyepesi,
but ukiziangalia kwa jazba unaweza usizielewe!
Kusema in repeatedly manners slogan ya ameboresha huyu, huyu hajaboresha ni mtizamo wako binafsi unavotaka wewe iwe kidaslama daslam, siyo mtizamo wetu wote. kuna watu mikoani huko hawakuelewi bila TBC, sehemu kubwa ya wakenya km machakosi, Maoiri, North madagascar , Kisangani,nk wanatizama TBC ,hasahasa inapendwa kwa sababu ya Lugha muanana ya kiswahili ni kupita maelezo.
Tangu enzi za kina David wakati RTD ni bora ni chema kinachojiuza chenyewe wala siyo kazi ya Ryoba wala Tido m. yenyewe itajiboresha kwa kuweka mitambo ya kisasa. kwani Ryoba ni mtambo wa kurusha matangazo? usikariri eti kwa sababu mitambo ya kisasa ililetwa enzi za tido basi ameboresha yeye!
Ongea vitu vipya, ambavyo amefanya siyo kurudia rudia neno ameboresha, ametoka juzi tu hivo basi kama ni suala la udhaifu wa juzi limesababishwa na yeye, wala siyo ryoba, na maboresho ni ya mtangulizi wake.Ndugu yangu huoni hata aibu kabisa kuzungumza hayo uliyoeleza hapo juu.
"Kusoma hujui lakini hata picha huoni?"😁
Narudia tena kusema, Tido Mhando ni Shujaa mkubwa KWA kufanikiwa kuiboresha TBC ukilinganisha NA Dr Ryoba.
Tido Mhando ameibuka kidedea TBC, hili halina ubishi NA wala halipingiki.
" The truth is still the truth even if no one believes it, and,
A lie is still a lie even if everyone believes it"
Kwanza kwenda kinyume na sera na msimamo wa mwajiri wako ni kosa la matumizi mabaya ya madaraka, na kuto kujua sheria hii siyo kinga. alikuwa na fanya kazi kwa maslahi ya nani? kupitia vipindi vyake vya hovyo. ndo maana aliondolewa TBC, na million 187 zetu ziko wapi, tunazitaka.Point yako ni nini?? Mbona sijakuelewa??
Wananchi tutathibitisha kuwa kama kweli alikuwa mzakendo NA alijali nyumbani, basi tuone TBC iliyo bora wala siyo vinginevyo, porojo za siasa hatutaki kuziona.
Tunataka kuona matunda ya kazi yake yakishamiri, kama tulivyoshuhudia sisi wenyewe enzi za Tido Mhando alipokuwa hapo TBC.
Hebu jaribu kulinganisha suala hili:
Tido Mhando ana Elimu ya Diploma tu lakini alifanikiwa pakubwa kuiboresha TBC vizuri zaidi kabisa NA kila mtu mzalendo aliipenda , lakini Dr Ryoba ana elimu ya PhD , na TBC imekuwa mbaya zaidi, sasa inachukiwa karibu na kila MTU.
Hii inamaanisha kwamba PhD ya Dr Ryoba si kitu chochote mbele ya Diploma ya Bwana Tido Mhando, KWA sababu Dr Ryoba ameshindwa kabisa kumudu kuiboresha TBC licha ya PhD yake ya Chuo Kikuu aliyonayo, wakati huo huo Bwana Tido Mhando ameibuka kuwa Shujaa wa kweli KWA kufanikiwa kuiboresha TBC ktk viwango bora kabisa licha ya Elimu yake ndogo ya Diploma aliyonayo.
Tido Mhando atabaki kuwa Shujaa Daima KWA kufanikiwa kuiboresha TBC
Dr Ayoub Ryoba alikabidhiwa kitengo kilchofilisika, kutokana na matumizi mabaya yaliyo ktk smoke screen ya utendaji bora. nani asiyemjua huyu Ryoba kwa makala zake nzito nzito kwa watawala, na lazima mtu mahiri ajue mazingira anayo fanyia kazi,km Ryoba alijua hii redio ni ya propaganda, anaiongoza kipropaganda. wewe ulitakaje?Ndugu yangu huoni hata aibu kabisa kuzungumza hayo uliyoeleza hapo juu.
"Kusoma hujui lakini hata picha huoni?"😁
Narudia tena kusema, Tido Mhando ni Shujaa mkubwa KWA kufanikiwa kuiboresha TBC ukilinganisha NA Dr Ryoba.
Tido Mhando ameibuka kidedea TBC, hili halina ubishi NA wala halipingiki.
" The truth is still the truth even if no one believes it, and,
A lie is still a lie even if everyone believes it"
Dr Ayoub Ryoba alikabidhiwa kitengo kilchofilisika, kutokana na matumizi mabaya yaliyo ktk smoke screen ya utendaji bora. nani asiyemjua huyu Ryoba kwa makala zake nzito nzito kwa watawala, na lazima mtu mahiri ajue mazingira anayo fanyia kazi,km Ryoba alijua hii redio ni ya propaganda, anaiongoza kipropaganda. wewe ulitakaje?
Tido mhando alikurupuka na uzoefu wake wa uzunguni, na kuuleta uswahilini Bongo, yaani mtu asiye na maono ni shida, hakujulikana yuko upande gani ktk kutumia Radio ya taifa, km una msimamo tofauti jiengue bila kuvunjiwa heshima. kama alivo vunjiwa heshima, hasahasa alipokurupuka na kipindi chake kilee cha michakato, kilicho jaa ufisadi. lkn Ryoba yuko makini na anajua mazingira ya TBC.
wewe kwa IQ yako hiyo yaaani mtu akipiga domo saana ndo ana akili siyo? wee subiri huko nako aliko awe makini.
Ni sawa Tido ni mzoefu mkongwe, aliyewahi fukuzwa kenya. ajili hii hii ya kukurupuka bila tafakuri ya kina, yakamkuta ya kumkuta . lkn pia hajifunzi tokana na makosa ndo udhaifu wake mkubwa.
Ayubu ni mwandishi mwanazuoni, uzoefu wa manejiment ameuanzia TBC, shida iko wap?i, kwa udhaifu gani?
usifanye mambo kiushabiki bali pambanua kwa kutumia akili yako......