Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dr Ayoub Ryoba aendeleza matusi kwa wakosoaji wake. Aivaa JamiiForums...

Mkurugenzi mkuu wa TBC, Dr Ayoub Ryoba aendeleza matusi kwa wakosoaji wake. Aivaa JamiiForums...

I feel sorry for him!!...Ryoba alikuwa na akili sana kabla ya kuanza kuunga mkono juhudi!!
 
Tanzania inaangamia sana, NA itaendelea kuangamia kutokana na kuwepo KWA Watu wengi sana wenye mawazo mfu na potofu kama haya uliyonayo wewe.

"Ee Mungu we, tunusuru wana wa nchi hii ya Tz kwa kuwafanya Watu wenye mawazo potofu kama haya wazaliwe huko mbali kwenye nchi nyingine lakini siyo Tz"!!
Mkuu elewa Mawazo mfu ni jibu rahisi kwa hoja yenye nguvu, inayofikirisha, rejelea nguvu ya hoja zako utuelimishe humu ndani siyo kwa hoja nyepesi zenye jazba, eti ''mawazo mfu kwa vigezo vipi kwani?'',
umeamua kujaza saver ya JF maksud?.
Cause you are beating around the bushes, walking dead and you are comfortable about it, au naongea na mtoto?

Ni ubaguzi, uchoyo, umimi na chuki kumtaka huyo mungu wako awape nchi nyingine, tena mbaya zaidi za Africa, tunazoziimbia kila siku Mungu ibariki...., eti ndo zipate watu wenye mawazo potofu. kama wewe mmakonde uko hivi Maadui wa bara la Africa wafanye nini?.
Viongozi wote madikteta kama Idd Amin, ndo walikuwa na akili km hizi, aliua viwete eti wanatia aibu, lkn waelewa hatukumlaumu Idd Amin sana. alivo fanya ni kwa sababu ya misingi mibovu ya Elimu ya Madrasa tu. kumbe watu km yeye hawajaisha.

Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo alisema anataka magugu na ngano viote pamoja. kwa Elimu yako hii ya Madrasa ni kinyume na hii jargon. itakugharimu miaka mingi, muda na pesa kujua hekima ya Mungu iliyojifunua kwa wachache. japo utaona haikusaidii lkn ndo chanzo cha maarifa.
 
Thanks

Lakini ukweli unabaki pale pale, Dr Ryoba TBC imemshinda, hii haina utetezi wala mjadala.
Tido Mhando atabaki kuwa ni Shujaa wa daima KWA TBC
 
Mimi nahitaji kujua kwamba ukiwa mhadhiri kweli waweza lipwa hio 60 milioni? sasa jamaa amesoma na anajua kua haiwezekani kulipwa mil 60 tbc kwanini alicha huko na kwenda tbc ukiwa mnafiki na muongo lazina uwe na kumbukumbu vizuri
Possible...kama anapata 5m per month kwa mwaka ana 60m?
 
hakuna mhadhari wa doctarate hapa bongo anaelipwa 60milioni kwa mwezi hata kama anafundisha vyuo 5 kwa pamnja huyo ni mwongo... labda atoe taarifa alikuwa analipwa kwa kazi ipi tofauti na mihadhara ya chuo.
 
Amani kwenu wadau,

Wiki moja iliyopita niliwaeleza jinsi Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la habari Tanzania (TBC), AYOUB RYOBA alivyotaka kupigana na mtangazaji wa EFM Radio, Gerald Hando
Dr. Rioba wa TBC ataka kupigana na Gerald Hando wa E-FM kwa kuambiwa TBC imemshinda

Jana TANAPA walikutana na wahariri jijini Tanga ili kuzungumzia uanzishwaji wa CHANELI ya Wanyama TBC. Katika kikao hicho ambacho AYOUB RYOBA alihudhuria, ulipofika wakati maswali, bosi huyo wa TBC aliulizwa juu ya tuhuma za kutaka kupigana na Gerald Hando wa EFM ndipo Dkt. Ryoba alipoanza tambo, kebehi ,matusi na dhihaka badala ya kujibu swali aliloulizwa.

Hii hapa ni nukuu ya maneno yake:
"Kuna Dada kanifuata kuniuliza upumbavu. Mimi sijibu upumbavu. Mimi si mnafiki, hata huyo aliyeniuliza sijui kama hata amemaliza darasa la saba hata digirii hana.

Jamii Forum nilipokuwa Ulaya nilikuwa naitumia sana kama chanzo cha kupata taarifa na kushiriki mijadala. Najua kuna maprofesa, majenerali wengi walikuwa member humu

Lkn sasa uongo na uzushi umezidi. Mimi siku nasoma taarifa ya kuteuliwa nilikuwa na kazi ya kulipwa milioni 60, ndiye mwandishi wa kwanza kumiliki Range Rover, sasa hivi hali yangu mbaya, natukanwa zaidi, afya yangu mbaya ....

Hata kama nitatumbuliwa nitaendelea kumuunga mkono (rais)."

Baada ya maneno hayo ya Ryoba, ABISALUM KIBANDA alimtaka Mkurugenzi huyo Mkuu wa TBC kuacha lugha za matusi na dharau kwani ni mtu msomi, kiongozi na mtu anastahili kuheshimu watu ii naye aweze kuheshimiwa
Je, amebadilika hizo tabia zake au bado?
 
Mimi hua natembea na kitabu Cha azimio la Arusha hikihapa hua sikiachi

Kweli ,afya yake Ile tofauti mwambieni aaze kumeza dawa au mtishamba wa kisukari
 
Back
Top Bottom