Khomeini kutokea France hakuna uhusiano na mapinduzi.kama ni hivyo iweje baada ya mapinduzi ya kiislamu ayatolla Khomeini allingia irani akitokea paris kwa ndege ya kukodi air france akisindikizwa na french intelligence? ...
Personal perceptions ndio unazileta kwenye geopolitics??its good against evil, ''to the famillies who say finish this, we will'' - Pete H ...
View: https://x.com/i/status/2034610815282647500
Hao jews wenyewe pia wanakushangaa maana hawajawahi kuwa na ugomvi na iran, ila wewe buza huku unaanza sijui shah mara nini ,hujielewi kabisa ,sababu mbona ziko nyingi tu na wazi, kwanza walimpindua shah na maelfu ya wairani waliuliwa hilo peke yake linatosha kuitwa evil regime, pili ni islam na tatu ni communist, need i say more? ...
Personal perceptions ndio unazileta kwenye geopolitics??
USA ambaye sio evil kwanini alifadhili Taliban,alqaeda na ISIS??
USA ambaye sio evil kwanini anafadhili waasi Congo for bloody minerals!???
Kichwani ni mweupe wewe.
Hawa hawa wanaobaka na kulawiti watoto kwenyevkisiwa cha epstein au wengine?hao ni communisits wenzenu wanaofanya hayo yote, hata waliomuua gadafi wenu ni coommunists wenzenu pia na siyo Christian conservative USA ...
Hao jews wenyewe pia wanakushangaa maana hawajawahi kuwa na ugomvi na iran, ila wewe buza huku unaanza sijui shah mara nini ,hujielewi kabisa ,
Hao maelfu ya wa iran uliwaua wewe? Kasome historia ya iran na ujue kwa nini wa iran walikuwa wanampenda khomeini na kwa nini wazungu wanamtaka shah
Yani kwa akili ya kuzaliwa marekani anaweza akakuwekea kiongozi mwenye maslahi na nchi yako?
Embu mjifunze kufikiria siyo mnamezeshwa kila ujinga mnaoona kwenye tv
Hawa hawa wanaobaka na kulawiti watoto kwenyevkisiwa cha epstein au wengine?
Kipi kitachomfanya aanguke??Humu tunahitaji zaidi facts ili tujifunze hatuhitaji hisia zako binafsiKwenye vita anayemvamia mwenzake au anaye anzisha vita huwa mwanzo anapata hasara kubwa au uwezo wake kivita unaweza kuonekana kama mdogo au wakawaida sana.
Kwa sasa Israel na USA wanaonekana kama ni kawaida sana kwa Iran, lakini muda si mrefu Iran inakwenda kuanguka, nasema hivi kwa sababu vita ni lazima kupata msaada kutoka kwa washirika wako, kwa sasa Irani kazingirwa kote na hawezi kupata msaada kutoka nje.
Jirani zake kawatibua, anga limetekwa, baharini meli zimezamishwa. Washirika wake wakitaka kutoa msaada utapitia wapi? Hata wakifanikiwa kupitisha watamudu vikwazo na tarrif za USA?
Kijana ni UMEDATA!??hao ni communisits wenzenu wanaofanya hayo yote, hata waliomuua gadafi wenu ni communists wenzenu pia usisahahu hata idi amini alikuwa ni communist na muslim pia na siyo Christian conservative USA ...
Kwahiyo Trump ni communist??wote communists hao, siyo hivyo, communists wanakula watoto wadogo pia ...
Kijana ni UMEDATA!??
Taliban waliofadhiliwa na USA ni communist?
Alqaeda waliodhaminiwa na USA ni communist??
DR Congo USA inafadhili waasi kupora madini nao ni communist!?
Aisee KAMA HUJUI SI UNYAMAZE!?
umesema kweli maana huwa najiuliza siku USA au Israel wakaamua warushe madude Iran kwamba yeyote limpatae nalimpate unafikiri nini kitakuwa "hakika" mimi na wewe hatujui. mtu anaingia na ndege zake toka baharini mpaka katikati ya nchi ila anachaguaa hapa nipige hapa nisipige. leo hii tunaandika humu lakini utashangaa mtu anakwambia ya kuwa ubalozi wa USA umepigwa na anashangiliwa au pengine anatafuta na picha anakuwekea (picha ya makaazi ya raia huko Israel) anakuambia unaona kiume Iran alichofanya.Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?
Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.
Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?
Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.
Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta
Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
Hivi unadhani Iran angekuwa ameelemewa kama unavyotaka kuuaminisha umma angeweza kutoa masharti haya hapa chini?mtu anaingia na ndege zake toka baharini mpaka katikati ya nchi ila anachaguaa hapa nipige hapa nisipige
Looooh, ujinga gani huu?Eti wanafikiria kuwapatia Iran proposal hii na Iran awakubalie
===
Israel’s Channel 12 has published what its sources claim to be 14 of the 15 demands and proposals the US allegedly conveyed to Iran:
1. Iran must dismantle its existing nuclear capabilities.
2. Iran must commit never to pursue nuclear weapons.
3. There will be no uranium enrichment on Iranian territory.
4. Iran must hand over its stockpile of some 450 kilograms of uranium enriched to 60 percent to the International Atomic Energy Agency in the near future, in a timetable to be agreed.
5. The Natanz, Isfahan and Fordo nuclear facilities must be dismantled.
6. The IAEA, the UN’s nuclear watchdog, must be granted full access, transparency and oversight inside Iran.
7. Iran must abandon its regional proxy “paradigm.”
8. Iran must cease the funding, direction and arming of its regional proxies.
9. The Strait of Hormuz must remain open and function as a free maritime corridor.
10.Iran’s missile program must be limited in both range and quantity, with specific thresholds to be determined at a later stage.
11. Any future use of missiles would be restricted to self-defense.
12. Iran would receive a full lifting of sanctions imposed by the international community.
13. The US would assist Iran in advancing its civilian nuclear program, including electricity generation at the Bushehr nuclear plant.
14. The so-called “snapback” mechanism, which allows for the automatic reimposition of sanctions if Iran fails to comply, would be removed.
Hivi akili yako inafanya kazi!??ndani ya USA communists kibao tu, na ndiyo wanao-run dunia, au unafikiri nani alianzisha na ku-fund communism? kongo ni communists ndiyo wanaoiba na kupora mali, mobutu alikuwa communist kama maduro tu ...
Hhaha,hii vita kila mtu anajifanya mchambuzi! Kwa taarifa yako Washirika wa Iran ni China,Korea kaskazini,Urusi na Pakistan ambazo zote zimeshatoa msaada wa kijesh na kijamii,mfano China mwezi huu imeshatoa msaada wa $200,000 na pia yeye ndio mnunuzi mkuu wa mafuta ya Iran kwa asilimia 91 mafuta ya Iran yanayoenda China yanaweza kuzidi mafuta yote kutoka sehemu mbalimbali yanayoingia bara la Africa
Urusi tayari amesaidia kwenye masuala ya critical intelligence, satellite imagery na hakuna mtu aliyeizingira Iran na ndio maana bado anacontrol Stait of Hormuz,manowari mbili za marekani zilizokuwepo zilishambuliwa na Iran,moja imerudi USA kwa matengenezo ya Miezi 14 na moja imeretreat kilomita 1000 kutoka ilipo Iran..
Na kikubwa zaidi washirika wake wote wana uwezo wa kufika Iran bila kenge yoyote kusumbua hapa kati,Russia na Iran wanafanya logistics kupitia Caspian Sea ambapo yenyewe ipo kama ziwa victoria yani ji sawa na useme marekani azuie Logistics ya Uganda na Tanzania kupitia lake victoria anapata wapi huo uwe
Kile kisiwa Iran anategemea kwa uchumi na mfereji wa Hormuzi vinakwenda kukaliwa kwa mabavu na USA, pia kitokana na anga lake kuwa wazi kwa ndege vita za adui Iran itashindwa kuhamisha vifaa vya kijeshi kutoka sehemu Moja kwenda nyingine.Kipi kitachomfanya aanguke??Humu tunahitaji zaidi facts ili tujifunze hatuhitaji hisia zako binafsi
Hivi akili yako inafanya kazi!??
Leo hii USA kuna communists!?
😂😂😂😂😂Oya embu isikieni hii mbusi!
Vijana wadogo wanaopewa pesa na kufadhiliwa silaha ili kupora madini Congo ni macommunists!??
Akili yako inafanya kazi vizuri!??
Taliban ni macommunists??
Alqaeda/HTS ni macommunists??
Na wote hao wamefadhiliwa pesa na silaha kutoka USA na Israel.
Embu jitambue basi wacha ubishani wa kipumbavu na wa kitoto.