Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

Aliyeongea ni Mmarekani na alikua kamanda mkubwa na ashapigama vita nyingi middle east,punguza ujinga wa mahaba unajiaibisha.
Katika wajinga humu nadhani wewe ndio unaongoza na sisi tunafuata. Ni mpuuzi tu ndio anaweza aminishwa na kauli za wanaharakati unazozileta hapa wakati Iran wamepigika na bado wanaendelea kuchapika. Sasa hivi Israel anaamumua tu kiongozi gani wa Iran aendelee kupumua na yupi amuondoe, wewe unaona hapo kuna serikali?

Unakuja kudanganya watu hapa eti wa Iran wanapenda kufa shahidi sasa mbona Mojtaba hadi leo anajifacha inamaana yeye hapendi kuwa shahidi? Israel wanauwa uongozi wa Iran, Iran hawajauwa kiongozi yeyote wa Israel zaidi ya kupiga raia na miundombinu sasa hapo unaona kuna vita hapo.
 
Nakusisitiza kijana,aliyeongea anajua uhalisia wa mashariki ya kati kuliko mimi na wewe.
Hivyo unajiaibisha kwa kumpinga.
Kingine unayedai Iran kapigwa;
-Ameharibu kambi za USA 27.
-Ameharibu kambi na miji ya Israel,nenda kamsikilize Mayor wa Kiryat Shimona anavyolalamika makazi ELFU KUMI kuwa MAHAME.
-Strait of Hormuz imedhibitiwa na Iran.
-Uwekezaji wa USA umelengwa middle east.

Punguza mahaba na hisia UNAJIABISHA.
Wakati US viongozi na wanajeshi wanalalamika uwekezaji wa miaka 50 wa USA middle east umeharibiwa na huwenda USA isiweze kurudi tena Mashariki ya kati kama mwanzo wewe uko hapa unajiropokea.

Kama hakuna vita Trump anahangaika kusimamisha vita gani!?
 
huo sio ushindi kwa iran kupiga base za marekani na miji ya israel ndio muone iran ni mwamba. Marekani bado haijaingia vitani kuisagasaga iran mjue hilo. Wale majirani nao hawajaingia vitani kujibu mashambulizi kikamilifu. Huo mlango wa hormuz iran hana ubavu wa kuufunga, nchi bado hazijaamua kuufungu kibabe, ngoja kwanza apigwepigwe alegee aishiwe nguvu mlango bahari huo ufunguliwe kwa hiyari au kwa lazima. Tulia hii vita bado mbichi na iran inachapika hasa
For you information;
-USA imetumia silaha zake advanced kuipiga Iran kiufupi imebakisha mabomu ya nuclear tu.
-Mashariki ya kati Iran ina makundi ambayo yamejipenyeza nchi za gulf ikiwemo UAE na BAHRAIN ambao wakipokea amri wanapindua serikali husika. BAHRAIN mfalme ameshakimbia kapinduliwa.
-Kuna proxy kama Hizbollah,Houthi na Hizbollah Iraqi ambao wamejizatiti kupambana dhidi ya USA mwanzo mwisho.
-Ulivyo MJINGA,Iran kushambulia kambi za USA ni ushindi kwasababu imevunja nguvu ya USA kuishambulia Iran,itamlazimu US atumie umbali mrefu na gharama zaidi kumshambulia Iran. Na kuzi restore hizo kambi sio chini ya miaka.
-Strait of Hormuz Iran anao uwezo wa kuifunga anavyotaka,kama Houthi mwaka jana walifunga red sea baab al mandib na NATO walishindwa kuufungua sembuse Iran??
Kwa kutokujua kwako MATAIFA MENGI YAMEKUBALIANA NA MASHARTI YA KULIPA USHURU HORMUZ NCHI MOJA WAPO NI UHISPANIA.

Kama hamjuagi NYAMAZENI.
 
naona upo upande wa iran.
 
Nakusisitiza kijana,aliyeongea anajua uhalisia wa mashariki ya kati kuliko mimi na wewe.
Hivyo unajiaibisha kwa kumpinga.
Kingine unayedai Iran kapigwa;
-Ameharibu kambi za USA 27.
-Ameharibu kambi na miji ya Israel,nenda kamsikilize Mayor wa Kiryat Shimona anavyolalamika makazi ELFU KUMI kuwa MAHAME.
-Strait of Hormuz imedhibitiwa na Iran.
-Uwekezaji wa USA umelengwa middle east.

Punguza mahaba na hisia UNAJIABISHA.
Wakati US viongozi na wanajeshi wanalalamika uwekezaji wa miaka 50 wa USA middle east umeharibiwa na huwenda USA isiweze kurudi tena Mashariki ya kati kama mwanzo wewe uko hapa unajiropokea.

Kama hakuna vita Trump anahangaika kusimamisha vita gani!?
Ndio maana nasema kuna shida mahali, hivi unadhani US na Israel wanashindwa kupiga vyanzo vya maji na umeme? Ikiwa wameweza kuuwa viongozi wanaojificha watashindwa vip kufungua huo mfereji. Amerca na Israel wana huruma na wa Iran nadhan kuliko hata hao viongozi wao.

Kawaida ya Trump huwa anatoa muda wa majadiliano sasa subiri muda huishe bila kufikia muafaka uone kama hawajakiteka kisiwa cha Kharg na kufungua huo mfereji.
 
Ubishi wa kitoto pengine sitaendelea kukujibu.

Ayatollah hakujificha Bali ameuliwa nyumbani kwake, na nyumbani kwake Hana bunker wala ulinzi wowote, anaishi maisha ya kimasikini kama masikini wengine, same kwa hao viongozi wengine, loyality hainunuliwi Bali huja kwa matendo yako, mpaka ukiona mwezi sasa Wairan kwa mamilioni wapo mtaani hayo mapenzi hayakuja hivi hivi, angeuliwa kwenye bunker huko wengi wasingekua loyal. Alishamsema siwezi kaa kwenye bunker Hadi Wairan wote Wawe na uwezo wa kuwa na bunker zao.

Vyombo vyote vya habari vikubwa kuanzia BBC, CNN, vya Uturuki, Al Jazeera, new York times na wengineo kwa pamoja wanakubaliana Tel aviv umeharibiwa vibaya Sana na sasa inaanza kufanania na Gaza, ni mpuuzi pekee anaefikiri Asilimia 92 ya makombora yanakuwa intercepted.

Pia Ndege za USA/Israel haziingii Iran zinaishia Tu Nchi za Jirani ama mpakani, so Far according to Bloomberg Ndege 16 zimelipuliwa nyingi zikiwa Kuwait na Iraq, mpaka F35 imedondoshwa, so is Manowari mbili kubwa za kivita zime retreat,

Anachofanya Israel ni kitu ambacho anakifanya siku zote kuua wanawake, watoto, wazee na watu wasio na hatia, kupiga Shule, Hospitali, vituo vya umeme, viwanja vya mpira etc.

Unafkiri Iran Hana uwezo wa kuua civilian wa kawaida? Anao ila yeye ana target Tu Serikali ya Israel, vita si sifa kuua watu wengi Bali ni kufanikisha objectives zako.
Ushabiki wa kitoto kabisa huu ulkoandika hapa
 
Ndio maana nasema kuna shida mahali, hivi unadhani US na Israel wanashindwa kupiga vyanzo vya maji na umeme? Ikiwa wameweza kuuwa viongozi wanaojificha watashindwa vip kufungua huo mfereji. Amerca na Israel wana huruma na wa Iran nadhan kuliko hata hao viongozi wao.
Usitudanganye,Israel na USA haina huruma na raia wa Iran,wameua watoto wa shule 160+,wamelipua hospitali zaidi ya 20+ nchini Iran kimakusudi na walilipua water diselination plant Tehran,utasemaje wana huruma??
Kuna kiongozi gani alijificha!? Viongozi wote kuanzia Khamenei hadi Larijani waliuliwa OFISINI MWAO usituchote akili bro.
Ali Larijani alionekana hadharani akiandamana na raia utasemaje alijificha!?
Iran alishatishia kulipua water diselination plant ya middle east YOTE na vyanzo vya nishati vya middle east nzima ikiwemo Israel.
Unadhani hilo halikuwaogopesha!??

Kawaida ya Trump huwa anatoa muda wa majadiliano sasa subiri muda huishe bila kufikia muafaka uone kama hawajakiteka kisiwa cha Kharg na kufungua huo mfereji.
Iran imeshakataa na ilishasema HAIJADILIANI NA YEYOTE.
Tumia akili ya kawaida,kabla ya vita kulikua na 40,000+ US troops na walishindwa kumdhibiti Iran, Kambi zimelipuliwa na hawana hata pakufikia. Iraq huku wanamgambo wanawawinda.
Kwa akili za kawaida jeshi la maji la askari ELFU TANO linaweza kupigana na jeshi la watu LAKI SABA waliowekwa Hormuz na milioni waliowekwa kisiwa cha Kharg!?? Usisahau kuna makundi ya jihadi kama Iraqi Hizbollah nao wanawasaka US troops.
Delusional. Kama akili yako ya kawaida inakutuma wanajeshi elfu tano watawapiga wanajeshi milioni moja na laki saba PLUS kundi la wanamgambo elfu 70 sawa mkuu umeshinda.
 
Usitudanganye,Israel na USA haina huruma na raia wa Iran,wameua watoto wa shule 160+,wamelipua hospitali zaidi ya 20+ nchini Iran kimakusudi na walilipua water diselination plant Tehran,utasemaje wana huruma??
Kuna kiongozi gani alijificha!? Viongozi wote kuanzia Khamenei hadi Larijani waliuliwa OFISINI MWAO usituchote akili bro.
Ali Larijani alionekana hadharani akiandamana na raia utasemaje alijificha!?
Iran alishatishia kulipua water diselination plant ya middle east YOTE na vyanzo vya nishati vya middle east nzima ikiwemo Israel.
Unadhani hilo halikuwaogopesha!??

Iran imeshakataa na ilishasema HAIJADILIANI NA YEYOTE.
Tumia akili ya kawaida,kabla ya vita kulikua na 40,000+ US troops na walishindwa kumdhibiti Iran, Kambi zimelipuliwa na hawana hata pakufikia. Iraq huku wanamgambo wanawawinda.
Kwa akili za kawaida jeshi la maji la askari ELFU TANO linaweza kupigana na jeshi la watu LAKI SABA waliowekwa Hormuz na milioni waliowekwa kisiwa cha Kharg!?? Usisahau kuna makundi ya jihadi kama Iraqi Hizbollah nao wanawasaka US troops.
Delusional. Kama akili yako ya kawaida inakutuma wanajeshi elfu tano watawapiga wanajeshi milioni moja na laki saba PLUS kundi la wanamgambo elfu 70 sawa mkuu umeshinda.
Unaleta porojo hapa maneno mengi hakuna point. Unajua ni kwa nini hawakumuua wakati ana andamana na raia? Unadhani hawakumuona? Ni kwa sababu wanajali raia. Sasa kama hawajifichi tuambie Mojtaba yupo wapi.
 
Porojo au hoja zimekushinda!??
Kama ni porojo pinga kwa facts sio mipasho.

Ali Larijani aliuliwa OFISINI KWAKE SIO KATIKA MAHANDAKI.
-Sijui Mojtaba alipo,unaweza ukatuelezea viongozi wa Israel walipo ikiwemo Netanyahu!??
 
Kwa hiyo ofisi yake unadhani ni sebule? Netanyahu unamuulizia kwani huwa humuoni?
 
Tunabishana nini? Si walionesha Larijani alivyoangukiwa na kuta za ofisi? Unataka utudanganye kuwa Larijani ofisi yake ipo underground?? Aya tudanganye.

Netanyahu yupi?? Huyu clone ambaye uso na mikono haviendani??
Naibu waziri,waziri wa ulinzi wote hawaonekani wako wapi???
Kama hawajifichi??
 
Kumbe huwa unafuatilia wanavyopigwa. Hivyo pale alikaa nje sio?
 
iran imebondeka vya kutosha na kubaki kujirushia mabomu bila mpangilio huoni kuwa imeshindwa? Hii vita itailemea tu iran, inatapatapa tu kwa sasa
Angalia Iran inapingana na nchi ngapi. Halafu hizo nchi zilizoanzisha mashambulizi ndizo zinaomba mazungumzo.

Laiti Israel wasingekuwa inasaidiwa na basha wake Marekani, wangekuwa wameshatolewa marinda tangu kitambo.
 
israel inaweza kupigana yenyewe hata bila msaada wa Marekani
 
Tunachoangalia ni facts sio nani kasema

Huwezi niambia Iran wana intelejensia kubwa wakati waziri wao wa Intelejensia kabamizwa pamoja na waziri wa ulinzi na wakuu kibao wa baraza la usalama wa taifa.

Mwenye intelejensia kali tunaona anachofanya, kaweza kumlipua kiongozi mkubwa kwa sekunde 40 tu, kaweza kuingilia mawasiliano na kutrack viongozi, n.k.
Hajaishia tu kuua kiongozi mkubwa, bali amesafisha viongozi karibu wote wakuu wa utawala hadi wa vyombo vya ulinzi.

Isitoshe anga la nchi hadi navy ipo uchi. Adui anaingia na kutoka atakavyo. Sasa huyu mtu anashindaje vita?

Watu wanajitoa ufahamu tu ila Iran uwezo wa kushinda hii vita nje ya mazungumzo HAKUNA.
 
Na kwa nyongeza Iran kwa sasa hakuna Internet (WAN) bali kuna intranet (local LAN), hivyo raia wameruhusiwa kutumia intranet ndani ya Iran na mawasiliano yapo kama kawaida isipokuwa hawana mawasiliano na nje ya Iran.

Pili, baada ya yale mauaji ya mwanzo ya raia na waandamanaji raia wameingia woga mkuu hivyo kushindwa kufanya kampeni yoyote ile ya kuandamana.

Tatu, vile vikosi vya ki-Kurd kule kaskazini vilipewa msaada na CIA ili walianzishe nao wote walishughulikiwa na vikosi vya Iran (Proxies) kulekule kabla hata hawajaanza mambo yao.

Ndo maana waona hali iliyopo kwa sasa.
Mtamsifia Iran mnavyoweza msifia ila kwa sasa ndie mfadhili mkuu wa ugaidi duniani.

Kupigwa kwa Iran ni amani ndani ya mashariki ya kati.
 
Pole sana. Hapa chini ya Leo.
===
The Khatam al-Anbiya Central Headquarters says over 500 US troops were targeted in the Iranian Armed Forces’ latest operations, which inflicted “very heavy losses” among them.

The spokesperson for the headquarters, Lieutenant-Colonel Ebrahim Zolfaqari, said on Saturday that the US forces had fled their regional bases due to “powerful assaults” and were hiding in two locations outside their conventional bases.

According to the statement, the first hideout in Dubai housed over 400 personnel, while the second contained more than 100.

Both sites were targeted by precision missiles and drones launched by the Islamic Revolution Guards Corps (IRGC) Aerospace Force and Navy.
 
Back
Top Bottom