Mkurugenzi mstaafu wa ujasusi Uingereza: Iran amemzidi Marekani kwenye hii vita

mchina na russia wanahusika kwa 100% kumpa intel Iran kupitia satellites zao na ndipo wakishapewa wanarusha hayo makombora na drones isingekuwa hivyo Iran angekuwa na hali ngumu sana kuliko aliyo nayo sasa.
 
Upo Sahihi Mkuu. Japo wengi watapinga lakini USA na Israel hawakutegemea walichokutana nacho. Trump anaongea upuuzi kwamba Tehran wamekubali kufanya mazungumzo wakati Iran wanakanusha. Mara aombe ceasefireπŸ˜‚ Pathetic
Ulitegemea Iran akubali kuwa kakubali kufanya mazungumzo? ili aonekane mnyonge? katu isingewezekana
 
Ulitegemea Iran akubali kuwa kakubali kufanya mazungumzo? ili aonekane mnyonge? katu isingewezekana
Atoe taarifa za vifo vya viongozi waliokuwa assasnated sembuse kukubali Diplomasia if necessary. Kwahiyo alivyotoa taarifa ya kifo cha khemenei hakuona itakuwa unyonge? unaongea upuuzi gani mkuu! Habari iliyopo mpaka sasa hivi mitandaoni ni kwamba Foreign Minister Abbas Araghchi said Tehran will continue its β€œresistance” and does not intend to negotiate
 
Viongozi wa Iran wanajificha kwenye kambi za kijeshi, kwenye bunkers, tena za umbali mrefu sana kwenda chini ya ardhi, wanalindwa kwa ulinzi mkali sana na tena kwa kupewa intel na russia na china, wanajificha mpaka kwenye maeneo ya umma, kama mahospital, mashule na bado Israel inawapata na kuwaua kibudu. Iran ishukuru ina eneo kubwa sana kijiografia isingekuwa hivyo ingekuwa imepigika mnooo zaidi ya ilivyo sasa. Kwenye suala la nani ana intel bora kazi za Israel zinaongea zenyewe mwenye macho haambiwi tazama maana anajionea mwenyewe.
 
Mr. Trump, in a Truth Social post, warned that Iranian officials β€œbetter get serious soon, before it is too late, because once that happens, there is NO TURNING BACK, and it won’t be pretty!” Iran has publicly dismissed Mr. Trump’s plan and insisted that the fighting will end only on its terms, though some Iranian officials have privately signaled that they are
 
Taarifa ya Khamenei kuuwawa Iran walibisha kwanza, baadae kinyooooonge ndiyo walikubali baada ya Israel kusema ishamuua kibudu huyo gaidi na picha kuwa washatoa peupeeee. Halafu kifo wangefichaje wakati Israel kila ikiua inasema wazi kuwa kazi wanaume washamaliza na sometime mpaka picha wanatoa? sasa hapo wanabishaje? so inabidi wakubali matokeo tu.
 
Pathetic! Pitisheni meli zenu pale Homuz kama uwezo mnao
 
Huu Uzi wamejaa viremba na wavaa vipedo wakijifariji
Top Government structure yote imesambaratishwa bado mtu ana kwambia Iran kashinda hii vita?
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
twende kwa facts
Targets eliminated both Israel & Iran
Top leaders
Military Areas/bases
Missiles cities
Etc etc
 
mchina na russia wanahusika kwa 100% kumpa intel Iran kupitia satellites zao na ndipo wakishapewa wanarusha hayo makombora na drones isingekuwa hivyo Iran angekuwa na hali ngumu sana kuliko aliyo nayo sasa.
That's true kwa Nchi yoyote Duniani Ukitoa USA, Mrusi na China.

Hata Ukraine anapewa Satelite na Usa, Vita vya Congo na Rwanda wanapewa, Sudan na kwengineko.
 
Unazidi kuongea UJINGA na UPOTOSHAJI.
Ku engage na brainwashed man ni kazi bure. Wacha niku ignore na ujinga wako.
 
Unazidi kuongea UJINGA na UPOTOSHAJI.
Ku engage na brainwashed man ni kazi bure. Wacha niku ignore na ujinga wako.

kwa kukusaidia tu kabla haujaenda, communism haijaanzishwa russia, china au sjiui korea bali communism imeanzishiwa western europe na wanaofadhili communism ni bankers capitalists wanaoishi western countries na siyo north korea au sijui iran, hao iran au china ni experiments tu kama ilivyokuwa soviet union, wanakuwa na theory wanatafuta mahali pa ku-practice hiyo theory ya communism ndiyo maana wakaanzisha soviet union kwa kumpindua tsar mfalme wa mwisho wa russia, wengine waka-fund islamic revolution ya iran au unafikri kwa nini islamic republic of iran sasa hivi inapata watetezi ktk western countries? its there project.
baada ya soviet union kushindwa na kuanguka sasa hivi wako china another experiment ...
 
iran imebondeka vya kutosha na kubaki kujirushia mabomu bila mpangilio huoni kuwa imeshindwa? Hii vita itailemea tu iran, inatapatapa tu kwa sasa
Kipindi UNAROPOKA HIVI..
-Iran imeshikilia mfereji wa Hormuz.
-Kambi za USA na Israel bado zinaendelea kushambuliwa hadi sasa effectively and precisely.
-Tel Aviv,Kiryat Shimona,Galilaya,Beit Shemesh n.k kuna big internal displacement and rubbles.

We endelea kujiropokea kuwa Iran inajirushia makombora hovyo,ilhali raia wa Israel wengi wanahangaika kukimbia nchi.
 
iran imebondeka vya kutosha na kubaki kujirushia mabomu bila mpangilio huoni kuwa imeshindwa? Hii vita itailemea tu iran, inatapatapa tu kwa sasa
Kipindi UNAROPOKA HIVI..
-Iran imeshikilia mfereji wa Hormuz.
-Kambi za USA na Israel bado zinaendelea kushambuliwa hadi sasa effectively and precisely.
-Tel Aviv,Kiryat Shimona,Galilaya,Beit Shemesh n.k kuna big internal displacement and rubbles.

We endelea kujiropokea kuwa Iran inajirushia makombora hovyo,ilhali raia wa Israel wengi wanahangaika kukimbia nchi.
 
Ona FALA MWINGINE HUYU.
Mleta mada ameleta reference ya mtu ambaye anajua geopolitics za middle east na anazijua Iran na Marekani kindakindaki,sio sawa na wewe muuza utumbo Manzese friends corner.

-Kambi za USA 27 zimelipuliwa effectively.
-Kambi za Israel Tel Aviv,Negev,Kiryat,Galilaya zimelipuliwa effectively.

Unaropokaje utumbo hapa!??
 
huo sio ushindi kwa iran kupiga base za marekani na miji ya israel ndio muone iran ni mwamba. Marekani bado haijaingia vitani kuisagasaga iran mjue hilo. Wale majirani nao hawajaingia vitani kujibu mashambulizi kikamilifu. Huo mlango wa hormuz iran hana ubavu wa kuufunga, nchi bado hazijaamua kuufungu kibabe, ngoja kwanza apigwepigwe alegee aishiwe nguvu mlango bahari huo ufunguliwe kwa hiyari au kwa lazima. Tulia hii vita bado mbichi na iran inachapika hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…