Mkuu unapiga spana hadi wanashikwa na hasira.Makombora karibu 92% ya Iran yanazuiwa na mifumo kama Iron Dome, lakini Iran yenyewe haiwezi kuzuia hata shambulio moja, unaona tofauti au bado?
Hao Handala hawafikii popote mbele ya Israel waliomdukua Ayatollah akiwa anatumia kitochi na wakambamiza ndani ya sekunde 40 tu.
Hilo eneo lililopigwa ni miongoni mwa machache ambayo makombora yaliweza kupenya. Sasa linganisha na Israel, akiamua kulenga target yoyote ndani ya Iran, kuna kizuizi ?
Iran anarusha makombora kwa wingi, Israel anaingia mpaka Tehran na kupiga anapotaka, anamfuata adui sebuleni kwake kabisa sio kumshambulia kwa mbali.
Na hadi leo Iran wanahangaika kupata intel ya kulipiza kisasi kwa viongozi wakubwa wa Israel, wakati Israel anafanya operation ndani ya sekunde chache na anarudia mara kwa mara. Iran walichoweza ni kutumia AI kutengeneza video kuwafariji watu kama wewe eti wamemuua Neta
Hiyo ndiyo intelligence, si kelele, ni matokeo.
Israel anapotezwa vipi sasa kwa mfano?Tatizo lipo Kwa mayahudi. Wameshaamua vita ipiganwe mpaka mwisho.
Sioni namna vita ikiisha hivi karibuni.
Ni aidha Iran idondoke au Israel ipotezwe
Sahau!!israel inaweza kupigana yenyewe hata bila msaada wa Marekani
Wasipokuelewa na hapa achana nao mkuu.Hakuna kiongozi aliekuwa akilindwa na makomandoo wabobevu na teknolojia ya hali ya juu Iran kama Ayatollah Khamenei.
Kwa bahati mbaya vitu hivi havikuwa na uzito wowote kwa ntelejensia na teknolojia za Israel
Na viongozi wengine wamo waziri wa ulinzi, wakuu wa majeshi ya taifa na irgc, mkuu wa baraza la usalama wa taifa, n.k.
Israel ana support kubwa sana ya wananchi wa Iran ukiachana na hawa wanufaika wa utawala, wananchi wa kawaida sio adui zake, wanawapa taarifa Israel kiongozi flani kaenda sehemu flani mlipueni. wana uwezo wa kuingia na kutoka watakavyo Tehran lakini targets zao ni viongozi na mitambo, ikitokea kuna raia wameuawa basi ni cross fire,
Lakini Iran inalenga raia hadi sasa ndio maana hawajaweza kuua kiongozi mkubwa hata moja, wanalenga raia
Mfadhili mkuu wa ugaidi duniani.sababu mbona ziko nyingi tu na wazi, kwanza walimpindua shah na maelfu ya wairani waliuliwa hilo peke yake linatosha kuitwa evil regime, pili ni islam na tatu ni communist, need i say more? ...
Iran anatapatapa tu ila ni lazima adondoke.Kwenye vita anayemvamia mwenzake au anaye anzisha vita huwa mwanzo anapata hasara kubwa au uwezo wake kivita unaweza kuonekana kama mdogo au wakawaida sana.
Kwa sasa Israel na USA wanaonekana kama ni kawaida sana kwa Iran, lakini muda si mrefu Iran inakwenda kuanguka, nasema hivi kwa sababu vita ni lazima kupata msaada kutoka kwa washirika wako, kwa sasa Irani kazingirwa kote na hawezi kupata msaada kutoka nje.
Jirani zake kawatibua, anga limetekwa, baharini meli zimezamishwa. Washirika wake wakitaka kutoa msaada utapitia wapi? Hata wakifanikiwa kupitisha watamudu vikwazo na tarrif za USA?
Lini sasa kinaenda kukaliwa??Tunahitaji facts sio ramli za akina tambi tambi bwasheeKile kisiwa Iran anategemea kwa uchumi na mfereji wa Hormuzi vinakwenda kukaliwa kwa mabavu na USA, pia kitokana na anga lake kuwa wazi kwa ndege vita za adui Iran itashindwa kuhamisha vifaa vya kijeshi kutoka sehemu Moja kwenda nyingine.
Logistics, economy, communication, na intelligence hivi ndivyo vinafanya ushinde vita.
Mpaka sasa USA na Israel wamekwishamuathiri Iran pakubwa kwenye maeneo hayo.
Naona muajemi kapata dawa ya F35One crew member from US fighter jet downed in Iran has been rescued, US media report
Verified video, pictured above, appears to show a US search and rescue operation in southern Iran. It's not known what has happened to the second crew member.www.bbc.com
Eti wanafikiria kuwapatia Iran proposal hii na Iran awakubalie
===
Israel’s Channel 12 has published what its sources claim to be 14 of the 15 demands and proposals the US allegedly conveyed to Iran:
1. Iran must dismantle its existing nuclear capabilities.
2. Iran must commit never to pursue nuclear weapons.
3. There will be no uranium enrichment on Iranian territory.
4. Iran must hand over its stockpile of some 450 kilograms of uranium enriched to 60 percent to the International Atomic Energy Agency in the near future, in a timetable to be agreed.
5. The Natanz, Isfahan and Fordo nuclear facilities must be dismantled.
6. The IAEA, the UN’s nuclear watchdog, must be granted full access, transparency and oversight inside Iran.
7. Iran must abandon its regional proxy “paradigm.”
8. Iran must cease the funding, direction and arming of its regional proxies.
9. The Strait of Hormuz must remain open and function as a free maritime corridor.
10.Iran’s missile program must be limited in both range and quantity, with specific thresholds to be determined at a later stage.
11. Any future use of missiles would be restricted to self-defense.
12. Iran would receive a full lifting of sanctions imposed by the international community.
13. The US would assist Iran in advancing its civilian nuclear program, including electricity generation at the Bushehr nuclear plant.
14. The so-called “snapback” mechanism, which allows for the automatic reimposition of sanctions if Iran fails to comply, would be removed.