Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

Hizo taarifa baada kugundulika ni feki si zilifutwa? Tatizo liko wapi?
 
Kama Kuama nchi ingekuwa ni laisi, Nahisi robo tatu ya watanzania, tungesha hama, nchi hii haina tofauti na jela kwasasa
 
Duh. Kwa hiyo sisi members tunasakwa na polisi kwa kila namna. Tukiwa na dukuduku tukatolee wapi? Ndo sheria za cyber crime zinataka hivi kumbe! Hatuko salama.
 

20 feb mwaka gani? hapo mwisho
 
Hawahitaji thread zako, wanataka kujua huyu akili tatu ninani,baaasi.
sasa watajuaje wakati jina sio langu,na detail zote nimeweka za urongo?kuanzia email hadi tarehe ya kuzaliwa?
 


Hilo ni juu ya CEO wa JF kuamua mimi nimetoa ushauri tu, kwamba aidha atii Serikali wanavomtaka au ageuke kuwa Mwanamapinduzi lkn jambo moja nalijua kwamba when chips are down atakuwa mwenyewe na familia take, na nyie wote mnaomchochea mtahamia kwingine!
 
Wewe MOTOCHINI umekazana tu kwamba watu waache Uzushi huo uzushi ni kama upi kwa mfano? Na unang'ng'ania kwamba serikali ndiyo yenye nchi hivyo ikiamua kitu ni lazima kifuatwe. Umewahi kusoma Ibara ya 8 ya Katiba yetu?
 
vitu vingine sio via kufikiria hasa utawala huu.
 
Nina wasiwasi na Savers za JF wanaweza Ku destroy naomba IT wetu wazilinde! Nchi ya Kipumbavu sana wakati FBI wangezama tuu bila hata huyo Melo kujua.


Mimi Apart from ID
Jina language Fake
Email Fake
ID Fake
Birthday Fake

Mkuu hiyo ip address unayotumia kupost mara kwa mara si itaonekana tu. Yaani hapa mwanangu kama ulikuwa unaiponda serekali imekula kwako. Anza kuandika urithi kabisa kama una chochote maana jela inakuhusu. Huyo Maxence Melo mwenyewe alivyo mwembamba akipigwa kibao kimoja tu anakabidhi server yote kituoni. Mimi leo naenda kuraruana na mke wangu ya mwishomwisho maana huko jela hiyo huduma hamna ni nyeto tu.
 
 
Pole sana Maxence Melo


[HASHTAG]#JusticeforMelo[/HASHTAG]

[HASHTAG]#Justice4JF[/HASHTAG]

[HASHTAG]#FreedomofSpeech4All[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…